OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mkuu huyo ni vunja bei mwenyewe kaamua kupoteza watu maboya kuwaingiza choo cha kikeMkuu umeaangalia video ? Mi picha nilidhani editing ila nilipoangalia video dah kwanini lakini wavujishe?
Manaraaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie makokolo mkiambiwa sisi tuna watu mnakataa,hii ndio taka taka yenu,jezi hazina hata mvuto,kolo.mnatia huruma hizi ndio jezi za kuzishindanisha na za Yanga
View attachment 1920130
View attachment 1920131
11/10Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
View attachment 1920109
View attachment 1920112
View attachment 1920117
View attachment 1920118
Zile chapa za GSM ni.matangazo ya injili..?Makolo FC kama kawaida jezi Matangazo kama YOTE.
Usiingie kwenye mtego wa utopolo, wadhamini wengi ndio hela zenyewe!
Kama huu ndiyo uzi wa Simba SC basi ni wa kawaida sana..Nyie makokolo mkiambiwa sisi tuna watu mnakataa,hii ndio taka taka yenu,jezi hazina hata mvuto,kolo.mnatia huruma hizi ndio jezi za kuzishindanisha na za Yanga
View attachment 1920130
View attachment 1920131
Mbona bakhresa kajaza matangazo kibao ya bidhaa zakeMo nae angeweka hata jina moja sasa majina kibao, sawa lakini.
kama hauna wadhamini, utaweka tangazo gani?
Zile chapa za GSM ni.matangazo ya injili..?
Kilq tangazo.si.linalipiwa..? Au hujui.?? Kaangalie jezi.ya.Man city afu uje hapa tena. Jezi ikiwa na matangazo.mengi.ina maana ya udhamini mwingi upo..?Matangazo machache sio jezi nzima matangazo kibao.
Kilq tangazo.si.linalipiwa..? Au hujui.?? Kaangalie jezi.ya.Man city afu uje hapa tena. Jezi ikiwa na matangazo.mengi.ina maana ya udhamini mwingi upo..?
Sasa ww unataka jezi.nyeupe kwani ni za waimba kwaya kuwa hakuna wadhamin.? Na huo uzi wa manyani.aka vibwengo hujaona chapa za gsm kama tatu mle.? Chuki wivu husda kitu kibaya. Na pia wewe kinachokuuma nini.? Kuna jezi za timu kubwa km.Man city chelsea zina matangazo km yote lkn hizo ni biashara na sio kutuwekea vibwengo wa kuzimu kwenye jezi.N
Ndio maana mkaitwa makolokolo FC kwa kujaza matangazao jezi nzima,
Matangazo ya kampuni 1 😀,nyie kanjibhai wenzenu wanajaza matangazo kampuni tofauti na zote zinalipiwaMo angeongeza matangazo kwenye jezi watu wajue bidhaa zake,mpira ni pesa mpira biashara,ni mshamba tu asiejua hili jambo.
Mbona Vunjabei kasema hazija vuja.Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
View attachment 1920109
View attachment 1920112
View attachment 1920117
View attachment 1920118
Mashabiki tumeridhika na uwekezaji wa Mo hasa kwenye benchi la ufundi timu inafanya vizuri,Mo aongeze matangazo kwenye jezi yajae nafasi isibaki.Matangazo ya kampuni 1 [emoji3],nyie kanjibhai wenzenu wanajaza matangazo kampuni tofauti na zote zinalipiwa
Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?