nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Mo ana hisia na hii timuNawakumbusha tu watoto wadogo familia ya kina Mo imetoka mbali sana na hii team na ni baba yake mdogo ndiye aliyeifikisha simba fainal ya CAF 1993
Kwa msiojua METL ni nini ni Mohamed enterprises limited
View attachment 1921050
Jitu linaongelea MO kuvua shati simba day linasahau Mo alipanda kwenye fuso siku simba inapokelewa baada ya kuwatoa zamalek na akavua shati sasa unalazimisha awe kama "jamaa"yako huko asiyejua mpira wala kuwa na hisia nao?Mo ana hisia na hii timu
huyo ni punguani,kila mtu ana namna yake ya kuishi na kujichanganya kufurahia maisha.Jitu linaongelea MO kuvua shati simba day linasahau Mo alipanda kwenye fuso siku simba inapokelewa baada ya kuwatoa zamalek na akavua shati sasa unalazimisha awe kama "jamaa"yako huko asiyejua mpira wala kuwa na hisia nao?
Sasa kama.imevuja mbona ina uhisport wakati mtengenezaji.wa sasa ni vunjabei..? Uko serious kweli..?
Msukule unateseka ukiwa wapi
Hilo ndilo jibu la kumuumbua mkuu, na Mimi akili yngu ilikuwa hpo hpo Bora umeliona , hongera man!
Mkuu umeaangalia video ? Mi picha nilidhani editing ila nilipoangalia video dah kwanini lakini wavujishe?
Hapo sawa nimekusoma 👍Jaribu kumwelewa,ameamua kuwaongezea ideas za jezi Utopolo kutoka kwa propaganda yao ya “jezi kuvuja” ni kama ameamua kuwananga ki aina.
OKW BOBAN SUNZU tulipowaambia sisi tuna watu akadai vunja bei anazuga,hiyo mijezi watu washafyatua fake kibao pa1 na huyo vunja price mwenyeweZililetwa hapa watu wakasema ni fake,sasa mzigo wenyewe huu hapa. View attachment 1921881View attachment 1921888
Jumamosi ipi tena? Tayari hukoWewe unaamini ile ndiyo jezi halisi? kwa hiyo video umeona hiyo jersey ina nembo ya Sportspesa? Hao ni wahuni wameamua kubandika maneno kwa jersey ya huko mtaani.Jaribu kuwaelewa Utopolo.Subiri Jumamosi,nitakuja kukumbusha hapa baada ya jezi kuzinduliwa rasmi
Ila mzuri [emoji1320][emoji1320]Haya wale waliokuwa wanabishia... Mzigo huo hapoooView attachment 1921899View attachment 1921900
show imeharibika kivipi?Show yote kaharbu Fred na group la
Machawa wake