Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Nawakumbusha tu watoto wadogo familia ya kina Mo imetoka mbali sana na hii team na ni baba yake mdogo ndiye aliyeifikisha simba fainal ya CAF 1993.

Kwa msiojua METL ni nini ni Mohamed enterprises limited.

metl.jpeg
 
Mo ana hisia na hii timu
Jitu linaongelea MO kuvua shati simba day linasahau Mo alipanda kwenye fuso siku simba inapokelewa baada ya kuwatoa zamalek na akavua shati sasa unalazimisha awe kama "jamaa"yako huko asiyejua mpira wala kuwa na hisia nao?
 
huyo ni punguani,kila mtu ana namna yake ya kuishi na kujichanganya kufurahia maisha.
 
Sasa kama.imevuja mbona ina uhisport wakati mtengenezaji.wa sasa ni vunjabei..? Uko serious kweli..?

Jaribu kumwelewa,ameamua kuwaongezea ideas za jezi Utopolo kutoka kwa propaganda yao ya “jezi kuvuja” ni kama ameamua kuwananga ki aina.
 
Hilo ndilo jibu la kumuumbua mkuu, na Mimi akili yngu ilikuwa hpo hpo Bora umeliona , hongera man!

Jaribuni kumwelewa,ni Sacarsm kwa Wana Utopolo walioleta propaganda jana ya jezi kuvuja
 
Mkuu umeaangalia video ? Mi picha nilidhani editing ila nilipoangalia video dah kwanini lakini wavujishe?

Wewe unaamini ile ndiyo jezi halisi? kwa hiyo video umeona hiyo jersey ina nembo ya Sportspesa? Hao ni wahuni wameamua kubandika maneno kwa jersey ya huko mtaani.Jaribu kuwaelewa Utopolo.Subiri Jumamosi,nitakuja kukumbusha hapa baada ya jezi kuzinduliwa rasmi
 
Jaribu kumwelewa,ameamua kuwaongezea ideas za jezi Utopolo kutoka kwa propaganda yao ya “jezi kuvuja” ni kama ameamua kuwananga ki aina.
Hapo sawa nimekusoma 👍
 
Wewe unaamini ile ndiyo jezi halisi? kwa hiyo video umeona hiyo jersey ina nembo ya Sportspesa? Hao ni wahuni wameamua kubandika maneno kwa jersey ya huko mtaani.Jaribu kuwaelewa Utopolo.Subiri Jumamosi,nitakuja kukumbusha hapa baada ya jezi kuzinduliwa rasmi
Jumamosi ipi tena? Tayari huko
 
Duuuh, msimu huu sihitaji jezi, ndo nini sasa hiyo mineno chini ya kola, mbele. Inabidi mashabiki wawaachie wachezaji tu hizo jezi, wasizinunue ili kuwafundisha jinsi ya ku-design jezi nzuri zisizo na mi neno isiyo na tija.
 
Back
Top Bottom