Dada leo naona hata muda wa kumpikia shemeji yako utakosa
Yaah kuna wajanja wengi ndio yalikiwa madeal yao na mpaka sasa bado wanafyatua kibishi na watu wakubwa sana kwenye hizi club.Wana hisa kwenye ile company. Hata Ndama kipindi cha Zahera alikuwa wanatoa kila wiki jezi mpya za Yanga.
GSM naona amefanikiwa 90% kuthibiti hii pirates,na ameweza sababu yeye ni mzoefu wa hizi fitna za biadhara za Bongo.Yaah kuna wajanja wengi ndio yalikiwa madeal yao na mpaka sasa bado wanafyatua kibishi na watu wakubwa sana kwenye hizi club.
Yaah GSM ana msuli mkubwa ila Fred Vunjabei ni kilio upande wake.GSM naona amefanikiwa 90% kuthibiti hii pirates,na ameweza sababu yeye ni mzoefu wa hizi fitna za biadhara za Bongo.
kuvuja kwa picha ya jezi mpya ni kwaidaWewe ndio utumie akili japo ya Bashite tuu. Inakuwaje jezi ziwekwe dukani au zifahamike design yake kabla ya siku ya uzinduzi rasmi iliyotangazwa na Club?
Unaleta ushabiki mpaka kwenye jambo ambalo litaiumiza club yako, wewe unafikiri Vunjabei akiumia kuna kampuni nyingine inaweza kuweka mzigo wake.
Moja ya sifa ya taasisi yoyote ni kuwa na uwezo wa kuficha siri muhimu hasa za kibiashara,sasa huoni hapo Simba inshaingia doa au hili nalo linahitaji ushabiki.
kuvuja kwa picha ya jezi mpya ni kwaida
zinavuja zikiwa kwenye maduka au wakati wa photoshoot
Yote yanawezekana mkuu.! Ndo mana hutakiwi kuamini mtu. Fred ameingizwa kwenye dunia halisi ya fitna za biashara.Unaweza kukuta hii fitna imefanyika from within, maana utakuta kuna watu hawakuridhika na jinsi jamaa alivyopata hiyo tender.
Hahahhaaha umepaniki wewe chawa wa Mwamedi. Unajua Manara alimaanisha nini kuwa Matajiri wa kweli hawapo Instagram, na wewe kwa akili zako za kushikiwa na Mwamedi ukaamini kabisa kuwa Ghalib hayupo Instagram?Aliyekwambia mimi ni mpishi nani? Uto akili zako hebu kazichukue kwa Manara! Maana sasa hadi anawaaminisha matajiri wa kweli hawapo Instagram na mnashangilia,Sasa sijui Ghalib ni tajiri kuliko Bill Gate aliye na account Instagram[emoji3][emoji3][emoji3]
😀😀 walianza msimu na jezi za zamaniKuna Uto mwingine huku anasema “usiri” wa jezi ndiyo mafanikio ya Club kama Taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahhaaha umepaniki wewe chawa wa Mwamedi. Unajua Manara alimaanisha nini kuwa Matajiri wa kweli hawapo Instagram, na wewe kwa akili zako za kushikiwa na Mwamedi ukaamini kabisa kuwa Ghalib hayupo Instagram?
[emoji3][emoji3] walianza msimu na jezi za zamani
Wewe huna akili kichwani, Club itapataje mafanikio kama haina mapato ya uhakika au hujui kuwa Club kubwa Duniani kama Real Madrid na Man United zinapata mapato yao kwa kuuza Jezi Original?Kuna Uto mwingine huku anasema “usiri” wa jezi ndiyo mafanikio ya Club kama Taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu analipa hela ndogoNeno Mo ziko 5 Kwenye Jersey Nzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]