Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Dada leo naona hata muda wa kumpikia shemeji yako utakosa

Aliyekwambia mimi ni mpishi nani? Uto akili zako hebu kazichukue kwa Manara! Maana sasa hadi anawaaminisha matajiri wa kweli hawapo Instagram na mnashangilia,Sasa sijui Ghalib ni tajiri kuliko Bill Gate aliye na account Instagram[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wana hisa kwenye ile company. Hata Ndama kipindi cha Zahera alikuwa wanatoa kila wiki jezi mpya za Yanga.
Yaah kuna wajanja wengi ndio yalikiwa madeal yao na mpaka sasa bado wanafyatua kibishi na watu wakubwa sana kwenye hizi club.
 
Wewe ndio utumie akili japo ya Bashite tuu. Inakuwaje jezi ziwekwe dukani au zifahamike design yake kabla ya siku ya uzinduzi rasmi iliyotangazwa na Club?
kuvuja kwa picha ya jezi mpya ni kwaida
zinavuja zikiwa kwenye maduka au wakati wa photoshoot
 
Unaleta ushabiki mpaka kwenye jambo ambalo litaiumiza club yako, wewe unafikiri Vunjabei akiumia kuna kampuni nyingine inaweza kuweka mzigo wake.

Moja ya sifa ya taasisi yoyote ni kuwa na uwezo wa kuficha siri muhimu hasa za kibiashara,sasa huoni hapo Simba inshaingia doa au hili nalo linahitaji ushabiki.

Team ya Simba itafanya vizuri uwanjani na Fred atauza jezi kwa sana tu.Wewe uwe na usiri kuzidi hata Mossad lakini kama Yanga itaburunda uwanjani ambayo ni more likely kutokea tena msimu huu hizo Jezi hazitouzika.Mafanikio ya Clabu yoyote ni uwanjani na si vinginevyo.
 
kuvuja kwa picha ya jezi mpya ni kwaida
zinavuja zikiwa kwenye maduka au wakati wa photoshoot

Kuna Uto mwingine huku anasema “usiri” wa jezi ndiyo mafanikio ya Club kama Taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliyekwambia mimi ni mpishi nani? Uto akili zako hebu kazichukue kwa Manara! Maana sasa hadi anawaaminisha matajiri wa kweli hawapo Instagram na mnashangilia,Sasa sijui Ghalib ni tajiri kuliko Bill Gate aliye na account Instagram[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahhaaha umepaniki wewe chawa wa Mwamedi. Unajua Manara alimaanisha nini kuwa Matajiri wa kweli hawapo Instagram, na wewe kwa akili zako za kushikiwa na Mwamedi ukaamini kabisa kuwa Ghalib hayupo Instagram?
 
Jezi zimetulia sana tu,kiguu na njia Msimbazi kujitwalia angalau kit mbili za kuwaumizia roho Utopolo,wajifunze jezi nzuri zinavyokua sio kujaza vinyago.
 
Hahahhaaha umepaniki wewe chawa wa Mwamedi. Unajua Manara alimaanisha nini kuwa Matajiri wa kweli hawapo Instagram, na wewe kwa akili zako za kushikiwa na Mwamedi ukaamini kabisa kuwa Ghalib hayupo Instagram?

Hebu kachukue basi akili zako kwa Msukule Manara,unawezaje kumwachia afikirie kwa niaba yako Dear Uto?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna Uto mwingine huku anasema “usiri” wa jezi ndiyo mafanikio ya Club kama Taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huna akili kichwani, Club itapataje mafanikio kama haina mapato ya uhakika au hujui kuwa Club kubwa Duniani kama Real Madrid na Man United zinapata mapato yao kwa kuuza Jezi Original?
 
1630656170195.png
1630656203416.png
1630656259155.png
 
Back
Top Bottom