Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Design ya Simba sio mbaya sana, jersey nyeupe naona ndio nzuri kwangu...

Mahali pekee nilipoona ni over design ni vile vijimaneno kwenye kola upande wa mbele...
 
Mwenye kuathirika hapa ni Fred. Maana hii profit ilikuwa yake,ashamalizana na Simba.
Nafikiri fitna na chuki za kibiashara zimemuathiri safari hii
Unaweza kukuta hii fitna imefanyika from within, maana utakuta kuna watu hawakuridhika na jinsi jamaa alivyopata hiyo tender.
 
Design ya Simba sio mbaya sana, jersey nyeupe naona ndio nzuri kwangu...

Mahali pekee nilipoona ni over design ni vile vijimaneno kwenye kola upande wa mbele...
Hivi Mkuu hiyo Mosport ni kitu gani?
 
Namuonea huruma Vunjabei yaani uzi fake unauzwa pale pale Msimbazi mbele ya Jengo la Simba. Naona akina Kasim Dewji washafanya yao.
 
Wakina Kassim si ndio wana hisa kwenye ile company ya mwanzo iliyonyimwa tender then akapewa Fred?
 
Huenda watakuwa wanaziachia wenyewe kwa makusudi, kwa hiyo mnajikuta mnazipromoti wenyewe bila kujua kwamba mnazipromoti, mpaka wale wa upande wa pili nao wanazipromoti bila kujua wanazipromoti.
Hamna kitu kama hicho hiyo biashara ukisema uzivujishe baasi anaye umia hapo ni Vunjabei.
 
Wewe unaejua biashara zaidi kuliko Fred Vunjabei mbona huna hayo mafanikio kama yake? Au ndiyo wivu tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakina Kassim si ndio wana hisa kwenye ile company ya mwanzo iliyonyimwa tender then akapewa Fred?
Hiyo kampuni sijui wanahisa wake ila
huyu jamaa Kassim Dewji tokea kipindi cha nyuma alikuwa anahusika sana kuuza jezi za Simba hata Yanga kiholelaholela mjanja mjanja.
 
Namuonea huruma Vunjabei yaani uzi fake unauzwa pale pale Msimbazi mbele ya Jengo la Simba. Naona akina Kasim Dewji washafanya yao.

Wewe umejuaje kama hizo ni fake? Kwa hiyo zile jezi zinazozagaa Magomeni za Utopolo ni feki pia?
 
Wewe unaejua biashara zaidi kuliko Fred Vunjabei mbona huna hayo mafanikio kama yake? Au ndiyo wivu tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Unaleta ushabiki mpaka kwenye jambo ambalo litaiumiza club yako, wewe unafikiri Vunjabei akiumia kuna kampuni nyingine inaweza kuweka mzigo wake.

Moja ya sifa ya taasisi yoyote ni kuwa na uwezo wa kuficha siri muhimu hasa za kibiashara,sasa huoni hapo Simba inshaingia doa au hili nalo linahitaji ushabiki.
 
Hiyo kampuni sijui wanahisa wake ila
huyu jamaa Kassim Dewji tokea kipindi cha nyuma alikuwa anahusika sana kuuza jezi za Simba hata Yanga kiholelaholela mjanja mjanja.
Wana hisa kwenye ile company. Hata Ndama kipindi cha Zahera alikuwa wanatoa kila wiki jezi mpya za Yanga.
 
Wewe umejuaje kama hizo ni fake? Kwa hiyo zile jezi zinazozagaa Magomeni za Utopolo ni feki pia?
Unakichwa kigumu, wewe jezi inaanza kuuzwa kabla ya uzinduzi rasmi wa jezi tena quality yake ni tofauti na ile ya vunjabei.

Pita Msimbazi hapa ujionee, halafu tafuta na hiyo ya Fred pima quality.
 
Unaleta ushabiki mpaka kwenye jambo ambalo litaiumiza club yako, wewe unafikiri Vunjabei akiumia kuna kampuni nyingine inaweza kuweka mzigo wake.

Moja ya sifa ya taasisi yoyote ni kuwa na uwezo wa kuficha siri muhimu hasa za kibiashara,sasa huoni hapo Simba inshaingia doa au hili nalo linahitaji ushabiki.
Huyo kichwani Hamna kitu. Wamepewa kazi na Mwamedi kuipigania Simba mtandaoni hata kwa mambo ya wazi wao wapinge tuu.
 
Back
Top Bottom