Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
tumia akiliNa hizi nazo unasemaje?View attachment 1921945View attachment 1921946
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumia akiliNa hizi nazo unasemaje?View attachment 1921945View attachment 1921946
Mwenye kuathirika hapa ni Fred. Maana hii profit ilikuwa yake,ashamalizana na Simba.Vunja Bei huko aliko hana hamu kabisa,ndio atajua Soka la Bongo na biashara yake lina wenyewe
Wewe ndio utumie akili japo ya Bashite tuu. Inakuwaje jezi ziwekwe dukani au zifahamike design yake kabla ya siku ya uzinduzi rasmi iliyotangazwa na Club?tumia akili
DUKANItumia akili brother hizo jezi unaziona zipo sehemu gani hapo?
Unaweza kukuta hii fitna imefanyika from within, maana utakuta kuna watu hawakuridhika na jinsi jamaa alivyopata hiyo tender.Mwenye kuathirika hapa ni Fred. Maana hii profit ilikuwa yake,ashamalizana na Simba.
Nafikiri fitna na chuki za kibiashara zimemuathiri safari hii
Hivi Mkuu hiyo Mosport ni kitu gani?Design ya Simba sio mbaya sana, jersey nyeupe naona ndio nzuri kwangu...
Mahali pekee nilipoona ni over design ni vile vijimaneno kwenye kola upande wa mbele...
Wakina Kassim si ndio wana hisa kwenye ile company ya mwanzo iliyonyimwa tender then akapewa Fred?Namuonea huruma Vunjabei yaani uzi fake unauzwa pale pale Msimbazi mbele ya Jengo la Simba. Naona akina Kasim Dewji washafanya yao.
Hamna kitu kama hicho hiyo biashara ukisema uzivujishe baasi anaye umia hapo ni Vunjabei.Huenda watakuwa wanaziachia wenyewe kwa makusudi, kwa hiyo mnajikuta mnazipromoti wenyewe bila kujua kwamba mnazipromoti, mpaka wale wa upande wa pili nao wanazipromoti bila kujua wanazipromoti.
Hamna kitu kama hicho hiyo biashara ukisema uzivujishe baasi anaye umia hapo ni Vunjabei.
Hiyo kampuni sijui wanahisa wake ilaWakina Kassim si ndio wana hisa kwenye ile company ya mwanzo iliyonyimwa tender then akapewa Fred?
Namuonea huruma Vunjabei yaani uzi fake unauzwa pale pale Msimbazi mbele ya Jengo la Simba. Naona akina Kasim Dewji washafanya yao.
Dada leo naona hata muda wa kumpikia shemeji yako utakosaWewe unaejua biashara zaidi kuliko Fred Vunjabei mbona huna hayo mafanikio kama yake? Au ndiyo wivu tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Unaleta ushabiki mpaka kwenye jambo ambalo litaiumiza club yako, wewe unafikiri Vunjabei akiumia kuna kampuni nyingine inaweza kuweka mzigo wake.Wewe unaejua biashara zaidi kuliko Fred Vunjabei mbona huna hayo mafanikio kama yake? Au ndiyo wivu tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Wana hisa kwenye ile company. Hata Ndama kipindi cha Zahera alikuwa wanatoa kila wiki jezi mpya za Yanga.Hiyo kampuni sijui wanahisa wake ila
huyu jamaa Kassim Dewji tokea kipindi cha nyuma alikuwa anahusika sana kuuza jezi za Simba hata Yanga kiholelaholela mjanja mjanja.
Unakichwa kigumu, wewe jezi inaanza kuuzwa kabla ya uzinduzi rasmi wa jezi tena quality yake ni tofauti na ile ya vunjabei.Wewe umejuaje kama hizo ni fake? Kwa hiyo zile jezi zinazozagaa Magomeni za Utopolo ni feki pia?
Huyo kichwani Hamna kitu. Wamepewa kazi na Mwamedi kuipigania Simba mtandaoni hata kwa mambo ya wazi wao wapinge tuu.Unaleta ushabiki mpaka kwenye jambo ambalo litaiumiza club yako, wewe unafikiri Vunjabei akiumia kuna kampuni nyingine inaweza kuweka mzigo wake.
Moja ya sifa ya taasisi yoyote ni kuwa na uwezo wa kuficha siri muhimu hasa za kibiashara,sasa huoni hapo Simba inshaingia doa au hili nalo linahitaji ushabiki.