JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Hahahaha mimi sikutaka shida,,nilimpa ignore basi.
But si sawa ni hawa mods ndiyo wanamlea. Ana ID's kama 20 humu zote za kudhalilisha na kutukana watu. Jaribu wewe kusema ng'we Ban hii hapa. Kama si wao wanamlea ni nini? Wasipokuja naenda kumporomoshwa matusi ya 2030. Ole wao wanipe ban
 
Hakika mimi nitaomba unitag tu hio siku,, napenda vitu ka hizo balaa😂
 
Wewe unacheka nae kwenye id yake ya django doer
Kuna uzi alinitukana, vincenzor akamuanzishia tifutifu hadi akapigwa ban muda huo huo akaja na id yake hiyo aliyotutukana mimi na wewe muda si mrefu
Nilimwambia ulinitukana kwenye ID yako nyingine. Akakataa, mimi mpaka niwe kwenye mood ya kujibu mtu. Kama sina sijibu hata. Na anatumwa yaani kuna mtu, akiwa na shida nawe or ukimpotezea anamtuma huyo kibwengo. Alishafanya kwa wengine nasasa anafanya kwangu. Nitadeal nao wote wawili.
 
Kichaa kaanza kumtuma yule mbwa wake, na kwangu kama alivyokuwa aliwafanyia wale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo nae anapewa airtime ya kiwaki, anatafuta umaarufu humu ndanii, afu kuna kitu hujakijuaa. Ntakudokezaa.

Hii JF ni kukaa kimastaaaa, mpuuzie huyoo atakufanya uwe banned bureeee. It seems wana jambo lao. Maana jana nlicomment kitu, kuna mtu anaulizaa wee mbona hujapigwa ban, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo Ban wanapewa pewa tyuuh, Lol
 
Nakusubiri luv. Ila ajue mimi ni kichaa na mwehu hee. Siku nitaamka na nitaweka list hao wafungue pm zao, niwape wanayosemwa yote. Ngoja acheze na hiki kichwa. Habari ataipata.
 
Nilimwambia ulinitukana kwenye ID yako nyingine. Akakataa, mimi mpaka niwe kwenye mood ya kujibu mtu. Kama sina sijibu hata. Na anatumwa yaani kuna mtu, akiwa na shida nawe or ukimpotezea anamtuma huyo kibwengo. Alishafanya kwa wengine nasasa anafanya kwangu. Nitadeal nao wote wawili.
Usinune BL..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu sasa ana kazi ya kubadilisha watu wa kuwatumia, em mpuuzie bhanaaa. Hata asikurushe rohoo.
 
Back
Top Bottom