JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

Nashukuru kuwa uko poa mchumba. Weekend inaendaje?

Ova
Hapa ni salama mchumba, sijui wewe uliyeko mbali huko. Napata hofu kama walio karibu nawe wanakutendea vizuri ninavyotaka mimi iwe.
 
Huku ni salama pia nchumba, hata mimi nimetamani ungekuwa hapa mchumba angu ili weekend itimie.

Insha'Allah kheri mchumba angu, itatimia. Tumetoka mbali, eti? Palipobaki ni kidogo.
 
Fanya urudi sasa mchumba, nikupeleke kwetu Ngarenaro mzee anakusubiri.
Inshallah, tuombe heri maana hata mimi natamani sana kufika huko kwenu ili tuhalalishe mchumba.

Awwwwwww, ninavyokupenda nitabubujikwa na machozi zaidi ya Lucas, Insha'Allah mchumba angu.
 
Wakati mzuri uko njiani mchumba, ndoto za sasa zitageuka kuwa halisi na kuamsha furaha zetu.

Ova
 
Back
Top Bottom