JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe bila kuchat namna hii sizani kama utaelewa an............
πŸ˜‚πŸ˜‚Yani mnanifurahisha na hiv napenda kucheka had Kuna ndugu yangu kabla hajanambia kitu anatanguliza usicheke had nimalize kuongea πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Yani mnanifurahisha na hiv napenda kucheka had Kuna ndugu yangu kabla hajanambia kitu anatangukiza usicheke had nimalize kuongea πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nafurahi kusikia hivo....... Ngoja tusubiri wenye jukwaa watuletee na sisi...
 
Kabisa matupe na sisi masalo masalo tupike mchuzi dabidabi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mchuzi au chachandu sasa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
 
Jichanganye..... Mi simo alafu kesho sio mbali kuwa na subra......

Mi masalo hapana kwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo waachie wasamaki au miogo ili wakatengenezee pili pili
πŸ˜€πŸ˜€Kwahiyo nisubir asubuhi eeh
Nisijiokotee parachichi kwenye mchungwa dakika za jioni
 
πŸ˜€πŸ˜€Kwahiyo nisubir asubuhi eeh
Nisijiokotee parachichi kwenye mchungwa dakika za jioni
Umeonaaa eeeh... Weee tuliaaaa kesho mapema naku tag hapa kabla hawajafika wale wa kubonya bonya bonya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu uzi wazee kina Poor Brain wanasema kumebaki masalo.
jichanganye πŸ˜‚πŸ˜‚
Screenshot_2024_0830_220332.png
 
Back
Top Bottom