Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko poa mtarajiwa wangu.
Nashukuru kuwa uko poa mchumba. Weekend inaendaje?Niko poa mtarajiwa wangu.
Hapa ni salama mchumba, sijui wewe uliyeko mbali huko. Napata hofu kama walio karibu nawe wanakutendea vizuri ninavyotaka mimi iwe.Nashukuru kuwa uko poa mchumba. Weekend inaendaje?
Ova
Huku ni salama pia nchumba, hata mimi nimetamani ungekuwa hapa mchumba angu ili weekend itimie.Hapa ni salama mchumba, sijui wewe uliyeko mbali huko. Napata hofu kama walio karibu nawe wanakutendea vizuri ninavyotaka mimi iwe.
Insha'Allah kheri mchumba angu, itatimia. Tumetoka mbali, eti? Palipobaki ni kidogo.Huku ni salama pia nchumba, hata mimi nimetamani ungekuwa hapa mchumba angu ili weekend itimie.
Ova
Kabisa mchumba, ni kama kumaliza mlima na kuuanza mteremko.Insha'Allah kheri mchumba angu, itatimia. Tumetoka mbali, eti? Palipobaki ni kidogo.
Fanya urudi sasa mchumba, nikupeleke kwetu Ngarenaro mzee anakusubiri.Kabisa mchumba, ni kama kumaliza mlima na kuuanza mteremko.
Ova
Inshallah, tuombe heri maana hata mimi natamani sana kufika huko kwenu ili tuhalalishe mchumba.Fanya urudi sasa mchumba, nikupeleke kwetu Ngarenaro mzee anakusubiri.
Awwwwwww, ninavyokupenda nitabubujikwa na machozi zaidi ya Lucas, Insha'Allah mchumba angu.Inshallah, tuombe heri maana hata mimi natamani sana kufika huko kwenu ili tuhalalishe mchumba.
Ova
Wakati mzuri uko njiani mchumba, ndoto za sasa zitageuka kuwa halisi na kuamsha furaha zetu.Awwwwwww, ninavyokupenda nitabubujikwa na machozi zaidi ya Lucas, Insha'Allah mchumba angu.
I believe in you mchumba, and oh! I love you.Wakati mzuri uko njiani mchumba, ndoto za sasa zitageuka kuwa halisi na kuamsha furaha zetu.
Ova
I love you more mchumba.I believe in you mchumba, and oh! I love you.
I Love you more baby mama❤️🌹🙂🤗Watuuu weuweeeee!!!!
Mwenzenuuu, niwaaambieeee, napendwaa mimiiii, kushindaa nyinyiii.
Nakupendaaa chibabaa, [emoji8][emoji8]
[emoji257][emoji519][emoji3590]I Love you more baby mama[emoji3590][emoji257][emoji846][emoji847]