JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

Dah bro , tumswalie mtume. Leo Eid😂😂😂
 
Calm down dear, achana nae kuna watu wako lonely mitandao ndio inawapa faraja kama hiyo kwa kusumbua wengine, muignore
 
Calm down dear, achana nae kuna watu wako lonely mitandao ndio inawapa faraja kama hiyo kwa kusumbua wengine, muignore
I know love, kama hili ndilo zake acha nimsuuze kwanza. Asinizoee, huwa sipendi mazoea na watu wasio na akili ni lazima tuwekeane mipaka. Akacheze anapochezaga. Nimekuelewa 🥰
 
Robert Heriel Tz, Mtibeli. Mkuu natamani ata niwe no yake,post zake zipo makini sana mwamba ni, mwalimu wangu Bora kwa sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…