JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!


Mkuu KakaKiiza count me in, nimeambiwa kuna warembo wapya kabisa kutoka majuu watafunguliwa siku hiyo kwa mara ya kwanza. Bila shaka itakuwa ni first in first save!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu KakaKiiza count me in, nimeambiwa kuna warembo wapya kabisa kutoka majuu watafunguliwa siku hiyo kwa mara ya kwanza. Bila shaka itakuwa ni first in first save!
kutokana na itifaki kuzingatiwa mimi nahusika na sehemu ya wale waliotoka mbali watakaohitaji kujirestisha wananiona mimi hata wale waliozaliwa dar wanaotoka dar wanakwenda dar!! nahao niwageni wangu je mkulu ni kaunt yu ini?

CC: Madame B'
Mtambuzi
gfsonwin
snowhite
Nyani Ngabu
Smile
Erickb52
Arusha one
 
Last edited by a moderator:
Mkuu KakaKiiza count me in, nimeambiwa kuna warembo wapya kabisa kutoka majuu watafunguliwa siku hiyo kwa mara ya kwanza. Bila shaka itakuwa ni first in first save!
Mra Mwitta kama mambo yenyewe ni ya kutafuta warembo wapya si tutabigana punduki mra?!
 

Kwahiyo kama nimekuelewa vizuri KakaKiiza unataka nifanye booking ya mrembo mmoja kati ya walioorodheshwa katika list yako hapo juu? au unamaanisha kwamba tayari hao wako booked na hao men walionao?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…