Mwanamke wa kugombania ni mtamu sana we acha tu. Mimi mwanamke akinikubali kirahisi rahisi nampotezea.
Waitu, aikunyegeza niwe anga Ta Mtambuzi?
sosoliso hapo ndio patamu sasa, maadamu umejinyakulia katrophy kako wala husikii maumivu. Ole wako sasa utolewe manundu na trophy ukose, inaumaje kwani?Ha ha ha Mkuu Mwita Maranya .. Imagine umeshatoka kung'olewa jino baada ya ugomvi halafu unaondoka na ur trophy..
kyanaKyoMuhaya omulist tinkukubona! Wabaki?
Nyegera muno!
KakaKiiza yuko kamati ya mapokezi!
Usimsahau queeny
kyanaKyoMuhaya omulist tinkukubona! Wabaki?
Nyegera muno!
KakaKiiza yuko kamati ya mapokezi!
Usimsahau queeny
Hainogi hata kidogo subiri nikafungue id mpya niijie white pariii halafu ole wake mtu aniite amu ukumbini sigeuki
Waitu nkyayebaza nti JF bashobora kushuntama amoi? Okwo tushereka amabara!
Mkuu Ruttashobolwa mgambile ebighambo kyanaKyoMuhaya timubone mulist!
Mkuu Ruttashobolwa mgambile ebighambo kyanaKyoMuhaya timubone mulist!
Ahahahahaha.Sawa bana..i wonder ulikuwa wapi saa hizo unaandika..Nilitaka kuandika naigeria:becky:!!rekebisha msaada pls
Ahahahahaha.Sawa bana..i wonder ulikuwa wapi saa hizo unaandika..