eeeeehhhhh mtalaka hatalikiwe
Ukienda bila ruxa talaka na uhamie huko huko kwa kina Bishanga na Nyani Ngabu
Ohoo wife! U.m.e.s.e.m.a???
nawe unasubiri kwenda thubutu yako unabaki kulinda nyumba usijekuniharibia pozi Ruttashobolwa
Hahahahahahashahahah
miss you sana!
Tuma advance japo buku kumi, si unajua maandalizi, au unataka white party idode?
hahahahah wifi wapenda mitoko safari ya TA imekupagawisha .... Madame B sema SU marejesho anasubiri hatoki hapa kama anausibiri ile hadithi ya mjeda CHAI CHUNGU
Paloma best usichanganye bwana we suka yeboyebo white halafu piga full kadress white viatu white rangi za kucha white.
Viatu nakushauri simple ili ukianza kuyumba zikupe balance.,,
utapendeza sana utakuwa kama malaika white from hair to shoes...
Usisahau na clutch white...
watu8 changamkia offer hiyo kwa paloma
Huu ni mwaka wa kula bata shem wangu!!!Tunakamata Fast Jet ijumaa usiku au Jmosi mapema,tunapata raha, jpili tunageuza na fast jet!!!
Ikishindikana hata KLM sio mbaya!!!!
SUUUUUUUUUUU....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mke Mwenza.
Werrr. . .werraaa!Tule bata mpaka kuku....
Ebana eeeeeeeeeeeee.....................
Madafada ya Ukwenheeeeeee............
Hapa Chacha....
Toka Kushoto:
Yule Mwanamke aliyeinua mguu ni Arabela,
Pembeni yake ni Smile,
Yuleeeeee.....aliyetanua mikono ni Mwanyasi,
Wa chini yake ni mke mwenzangu Blaki Womani,........... Mme wangu wa pili Arushaone kazi unayo.
Yule mtoto pale kati ni mdogo wangu beibe nasty,
Kaka aliekaa chini ni Shem Filipo,
Baba aliyekaa pale juu yule mwenye tabasamu taff ni Babu DC Dark City,
Pembeni ya Babu DC ni Lily Flower,
Aliyekamata mtoto ni Preta,
Yule mtoto mchanga ni werawera,
Yule mdafada aliyenyoosha mkono huku amekamatia glasi ni KOKUTONA na yule anayeturingishia Upaja wake ni wifi marejesho........wifi una visa wewe, kaka mbona kazi anayoooo....mweeeeeee.........!!!!!!!!
Wanawasubiri watu8, PakaJimmy na CHUAKACHARA waje wawafotoe