Panda tu train a.k.a Mwaky. . . .!
charminglady nauliza tu, etiii C6 umemfungia kwenye kibuyu au chupa??

hayo ndo mlokuwa mmesahau lol!Tunashukuru sana gfsonwin kwa kukaribishwa... Nafsi zetu sasa zimetulia....
Blaki Womani sasa tufanye maandalizi ya haya makitu meupe....
we King Mswati unantaka eeeeh????
Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!
nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??
Ukiwa na mawazo ya hivi hutokaa ufanye jambo la maana hata siku moja.
Asante dogo!
Mtambuzi usiwabanie watu bana Skiiter alisema double ni 125000/= ..............lol!
nasubiria watu waendelee kuconfirm na mpaka sasa walio confirm kwangu ni Mentor, akenajo. hawa nimewapa namba yako ili wakuwasilishe. pia naomba sana swala la champagne at least 3. halafu kuna jambo tume ova look hivi hatutawakaribisha akina maxence mello na invisible??
Ha ha ha ha ha.. Yaani hii a.k.a ya Arushaone (King Mswati) hata wewe unaifahamu?
Copy : Blaki Womani