Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena lisilo la maana. Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” (Mathayo 12:36).
That means, every single word is carefully preserved in the 'eternal archives of Heaven.' Words are not forgotten, they are awaiting their day of testimony.
Hiyo inatupa onyo la wazi kwamba maneno yetu ni ya thamani kubwa kuliko tunavyodhani. Yakisemwa vema au kwa mzaha, yote tutayatolea hesabu. Tutawajibishwa kwayo. Kumbuka tena: hata utani mdogo au kejeli ndogo haipotei machoni pa Mungu.
On the Day of Judgment, careless speech will stand as evidence against its speaker. The tongue is small, but its record is monumental.
Watu wanapojiunga JF, huitwa New members, kisha Members, halafu Seniors members then Expert members... Nawapongeza waliobuni system hii. Hebu tujiulize sasa sisi Experts: je, tunaitendea haki hadhi ya hili jina “Expert”? Expert anapaswa kuonyesha uzito wa fikra na busara ya maneno, siyo kuporomosha matusi, mzaha na kejeli.
A true expert adds value to the conversation, not noise. Respect is not demanded by the title, it is earned by the quality of words.
Experts wengi, badala ya kutoa hoja za kujenga, mara nyingi tunaona wakitoa comments za mzaha zisizo na maana. Kwa mfano, mtu anaandika: “Nonsense, this post is trash.” Comment kama hii haionyeshi heshima wala haijengi chochote. Badala yake, Expert anaweza ku-comment hivi: “I respectfully disagree with your point because it lacks supporting evidence. If you expand more on [eneo fulani], the argument may be more convincing.”
The difference is striking: one comment destroys, the other refines. One wastes space, the other adds weight to the discussion.
Mfano mwingine: badala ya kuandika: “You don’t know anything, acha kupost pumba hapa.” Mtu anayejitambua kuwa ni Expert atasema: “I see your perspective, but I think you have overlooked [jambo fulani]. Allow me to share a different angle.”
This is how expertise should sound: firm but respectful, sharp yet constructive. Words like these build communities instead of scattering them.
Biblia inatuambia: “Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.” (Wakolosai 4:6). Kukolezwa chumvi maana yake ni kwamba tunapomjibu mtu, tunatakiwa tutoe maneno yenye ladha ya hekima, maneno yanayoweka thamani na kusababisha wengine watamani kusikia zaidi. Maneno yasiyokolezwa chumvi ni kama chakula kisichowekwa chumvi. Hakivutii kula.
Words seasoned with salt preserve dignity and inspire growth. When our speech carries wisdom, it becomes nourishment for every listener. Mungu anisaidie mimi, akusaidie na wewe, tuwe experts in communication. Blessings!