JF-Expert members - mnaujua ukweli huu? Maneno yote tunayosema na kuandika, Mungu anayarekodi. This is serious!

Na ufunuo umekufunulia kwamba mimi ndiyo bwana wako... Fanya kulegeza...
Kwanza wewe ni Platinum Member. Huu uzi ni kwa ajili ya Expert Members. Umekujaje hapa? Kama umeshindwa kuzingatia masharti hayo madogo tu niliyotoa, hii ni ishara kubwa huwezi kukaa na mke zaidi ya wiki moja, maana ndoa ina vigezo na masharti mengi ya kufuata
 
Bwana Mungu ndiyo kaniongoza njia na kunileta kwako, ili nikutoa kwenye usingle sugu...

Sema Amen!!
 
JF Expert member, nimekuja
 
Bwana Mungu ndiyo kaniongoza njia na kunileta kwako, ili nikutoa kwenye usingle sugu...

Sema Amen!!
Amen maana yake "Na iwe hivyo"
Sasa wewe unataka niseme amen ni-support uongo? Uongo nauchukia kama ukoma. Maana waongo hawataurithi ufalme wa Mungu
Ufu 21:8
"...wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili."
 
Hapa ni ukweli mtupu, unaruka ruka tu bila sababu...
Fanya kunipa mistari ya biblia ana kwa ana...
 
Kwanza niambie, mila zenu zinakuruhusu kupiga picha na dada yako kama hiyo avatar inayokuwakilisha inavyoonesha?
 
Punguza wivu, mbona mapema sana...
Huyo mdada kwenye avator utakua wewe...
 
Back
Top Bottom