Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Mimi nuru wewe Giza, nitakusambazia upendo wa Nuru...Nuru na giza havikai chumba kimoja
2 Wakorintho 6:14
Tutakaa tu chumba kimoja...
Mimi nuru wewe Giza, nitakusambazia upendo wa Nuru...Nuru na giza havikai chumba kimoja
2 Wakorintho 6:14
Una taaluma Gani mkuu maana unaonekan wa moto, unatoa hoja then unaisupport with relevant authority🙏, I like itMimi ninapokuwa jikoni, huwa navaa mavazi ya kiroho kama Maandiko yanenavyo:
Hayo ndiyo mavazi yangu ya kila siku. Naamini siku hizi huna tena Poor Brain hivyo umenielewa. Au siyo?
- Navaa mkanda wa kweli kiunoni (Waefeso 6:14)
- Dirii ya haki kifuani (Waefeso 6:14)
- miguuni navaa utayari wa Injili ya amani (Waefeso 6:15)
- Mkono wa kushoto nashika ngao ya imani (Waefeso 6:16)
- Kichwani naweka chapeo ya wokovu (Waefeso 6:17)
- Na kwenye mkanda, nachomeka upanga wa Roho, yaani Neno la Mungu (Waefeso 6:17)