Chakula chenyewe cha kubadilisha ndiyo wewe...Hata wewe ni mbishi sana. Kila mara nakuambia badilisha chakula. Inakifu kula wali nyama kila siku
Safi sana... Sasa fanya uwe mke mmoja kwangu mpaka kifo...Mke mmoja, mme mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Uzinzi sio chakula
Nisemeje, maana nilichokitegemea na ninachokisoma sasahivi 😂😂😂 Mungu nitie nguvuHuo ni uzuri?
Acha ujinga...Mimi tayari ni bibi Arusi wa Yesu. Nasubiri sherehe tu ya arusi.
Kama hujaunganishwa na huyo, muombe Bwana akupe anayefanana nawe.
To late ipi wakati upo single, unasubiria boti kwenye kituo cha mwendo kasi...Too late