Mimi ninapokuwa jikoni, huwa navaa mavazi ya kiroho kama Maandiko yanenavyo:
- Navaa mkanda wa kweli kiunoni (Waefeso 6:14)
- Dirii ya haki kifuani (Waefeso 6:14)
- miguuni navaa utayari wa Injili ya amani (Waefeso 6:15)
- Mkono wa kushoto nashika ngao ya imani (Waefeso 6:16)
- Kichwani naweka chapeo ya wokovu (Waefeso 6:17)
- Na kwenye mkanda, nachomeka upanga wa Roho, yaani Neno la Mungu (Waefeso 6:17)
Hayo ndiyo mavazi yangu ya kila siku. Naamini siku hizi huna tena
Poor Brain hivyo umenielewa. Au siyo?