JF Hard Talk "FaizaFoxy"

Je unauhakika kuwa, mnaferishwa, au ni system ya kiislam ambayo ina base zaidi katika, mafunzo ya kiislam na kuzembea katika masomo ya shule, mfano mtoto anakazania zaidi madrasa kuliko shule, unawezaje kufanananisha na mtoto anaye shinda shule fulltime?
 
Nina swali kwako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnaferishwa = mmefelishwa

Wakati huo Ndalichako alikiri kuwa "kuna makosa ya IT" ndiyo yalipelekea Waislam pekee wapunguziwe points!

Pitia uzi huu: Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu. - JamiiForums
 
Hapa naona kama lugha na maelezo ilivyotimika si sawa navyojua Ke anaolewa na Me anaowa. Au umetohoa kutoka lugha ya yule mama aliyekuwa mtawala wako wakati unazaliwa??
Kiislaam, tunaoana.
 
Hilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani.i.
Any proof beyond reasonable doubts?...au hizi ni story za karumenge, essopo.. za kwenye vijiwe vya kahawa?
 
Vijiwe vya kahawa vinatofautiana vipo vya Kisiju,kuna vya Posta, vipo vya uwanja wa fisi na pia vya Mikocheni...fafanua
 
Huko juu nimeona sehem inazungumziwa jihad! Na umejibu 'vizuri' kuwa kwa mmoja ni 'ugaid' na mwingine ni 'kuupigania' uhuru

Ikiwa jihad ina taratibu zake na ili iitwe 'jihad' ni lazma taratibu hizo zifuatwe.,

1.Napenda unijuze, uislam umeamrisha kuwa ktk jihad haipaswi kumuua muislam mwenzetu ikiwa hatudhuru, na pia hatupashwi kuharibu uoto i.e miti. Je, 'jihad' hii inayoendelea inazingatia hayo?

2. Ni yupi Amir wa 'jihad' hii inayoendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…