buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Je unauhakika kuwa, mnaferishwa, au ni system ya kiislam ambayo ina base zaidi katika, mafunzo ya kiislam na kuzembea katika masomo ya shule, mfano mtoto anakazania zaidi madrasa kuliko shule, unawezaje kufanananisha na mtoto anaye shinda shule fulltime?Hilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani. Waislam mpaka wakaingia mitaani kuandamana mpaka Ndalichako akaachia ngazi.
Magufuli alipoingia madarakani akatuzaba Waislam kofi la kikelb kwa kumrudisha wizara hiyohiyo na kumfanya Ndalichako awe waziri wa elimu. Hatari.