JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Mim kusoma usiku siwezi kabisaa,naweza sema kabisa muda flan tuamke na kwa msisitizo lakin wapii sijawah amka,hadi mitihan ya necta mi nilikuwa nalala tu siwezi soma usiku nna usingizi ajabu
Mimi mwenyewe nilishindwa kabisaaa, tena ukija kuniamsha tutagombana kama sio mimi nilokwambia uniamshe. Usingizi mtamu jamani, walokuwa wanaamka sijui waliwezaje!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu alikuwa na namba ya sister hivyo nikiharibu taarifa anapata. Ungeozeshwa mbona.
Kwani unafikiri ungesoma shule hiyo hiyo ?
tungekuwa shule nyingine
 
You cant be serious!!! Wewe kabisaaaa na ucharuko wapi na wapi!!!

Mie i was silent, huwezi nikuta kwenye matukio japo marafiki zangu micharuko. Sijui nilikuwa ninaepushwa au vipi sielewagi kwakweli!!!
 
Mim kusoma usiku siwezi kabisaa,naweza sema kabisa muda flan tuamke na kwa msisitizo lakin wapii sijawah amka,hadi mitihan ya necta mi nilikuwa nalala tu siwezi soma usiku nna usingizi ajabu
Kusoma usiku kipaji ujue. Mimi nilikua naenda prep saa nne nikifika nachaaat saa sita narudi kulala. Mambo ya usongo nilikuq siwezi
 
Teh hadi leo, nikifika mahali kabla sijazoeana na watu, siongeagi kabisa, kasura nakadogodisha kaonekane ka upole, ila still nakuwaga defined as mkorofi. Nikishaanza kuzoeana na watu ndo wanaanza kunipa stories za walivyokuwa wananiona. Sasa sijui ni kwa sababu ya sura hii ya mjomba mweeh. Yani sinaga matukio, ila ukisema HS mpole watu wataandamana kichura chura. Nyumbani walinipa nickname "anna kansiime " na upole wote huu hahahahah

Nikiwa na marafiki zangu, me ndo naonekanaga mtukutu jamani mweeh
You cant be serious!!! Wewe kabisaaaa na ucharuko wapi na wapi!!!

Mie i was silent, huwezi nikuta kwenye matukio japo marafiki zangu micharuko. Sijui nilikuwa ninaepushwa au vipi sielewagi kwakweli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…