Mi nalala wakiniamsha nawaambia neno linasema "ole wake autumiaye mchan kua usiku narudi kulala" saa ingne nawaambia sisomei kijiji majibu ya necta yanatoka hawaamini macho yao waliniona mwanga!Mimi mwenyewe nilishindwa kabisaaa, tena ukija kuniamsha tutagombana kama sio mimi nilokwambia uniamshe. Usingizi mtamu jamani, walokuwa wanaamka sijui waliwezaje!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zetu tigo bure ikifika saa sita kamili mpk alfajr wee!usipimeee yaani wenye simu wanaanza kutafuta line saa sita kasoro kuna mtu alikua anaongea huyoo kuanzia saa sita mpk saa kumi na mbili anawahi darasani analaalaaa mpk vipindi vinaaanzaKusoma usiku kipaji ujue. Mimi nilikua naenda prep saa nne nikifika nachaaat saa sita narudi kulala. Mambo ya usongo nilikuq siwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakataaaTeh hadi leo, nikifika mahali kabla sijazoeana na watu, siongeagi kabisa, kasura nakadogodisha kaonekane ka upole, ila still nakuwaga defined as mkorofi. Nikishaanza kuzoeana na watu ndo wanaanza kunipa stories za walivyokuwa wananiona. Sasa sijui ni kwa sababu ya sura hii ya mjomba mweeh. Yani sinaga matukio, ila ukisema HS mpole watu wataandamana kichura chura. Nyumbani walinipa nickname "anna kansiime " na upole wote huu hahahahah
Nikiwa na marafiki zangu, me ndo naonekanaga mtukutu jamani mweeh
Huyo hakua mzima wallah kaah![emoji28] [emoji23] [emoji23] wanafunua mpk page ya mbele hakua msom alikua msaniiIlikuwa mkishafunua page mnakaa mbali halafu anajifanya kukohoa au kubamiza mlango, akishtuka anafunua page ya mbele, hapo ni kicheko mpaka prep inaharibika.
Kuna siku mnabadili hadi anachokisoma, akiamka anaendeleza.
Baadae aligundua mbinu, ikawa akishtuka anatulia baadae mnaona anabadili kitabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nalala wakiniamsha nawaambia neno linasema "ole wake autumiaye mchan kua usiku narudi kulala" saa ingne nawaambia sisomei kijiji majibu ya necta yanatoka hawaamini macho yao waliniona mwanga!
Utakua na sura ya utukutu lazima. Mi naonekanaga serious ila nahisi hamna mtu mjinga kama mimi nikiwa na watu ninaowaamini...Teh hadi leo, nikifika mahali kabla sijazoeana na watu, siongeagi kabisa, kasura nakadogodisha kaonekane ka upole, ila still nakuwaga defined as mkorofi. Nikishaanza kuzoeana na watu ndo wanaanza kunipa stories za walivyokuwa wananiona. Sasa sijui ni kwa sababu ya sura hii ya mjomba mweeh. Yani sinaga matukio, ila ukisema HS mpole watu wataandamana kichura chura. Nyumbani walinipa nickname "anna kansiime " na upole wote huu hahahahah
Nikiwa na marafiki zangu, me ndo naonekanaga mtukutu jamani mweeh
Kweli nyie watoto, kumbe wa enzi ya tigo bure!!![emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zetu tigo bure ikifika saa sita kamili mpk alfajr wee!usipimeee yaani wenye simu wanaanza kutafuta line saa sita kasoro kuna mtu alikua anaongea huyoo kuanzia saa sita mpk saa kumi na mbili anawahi darasani analaalaaa mpk vipindi vinaaanza
Usingizi tu, jamaa alikuwa anateseka sana. Ikawa inabidi asome usiku mzima.Huyo hakua mzima wallah kaah![emoji28] [emoji23] [emoji23] wanafunua mpk page ya mbele hakua msom alikua msanii
PCB,PCM,CBG na EGM Mimi niliambiwa nimebaka kombii maana ni mtataa marafiki zangu woteee KLF na H kunani!yaani starehe tuuu!!Mimi nilikuwa mtundu sana school, ila siyo mgomvi kabisa, kwa hiyo hizi za kuchokoza watu ilikuwa kawaida sana.
PCB walikuwa wasongo sana, kuna muda nilikuwa nachungulia darasani wote wako kimyaa, unaingia kama vile kuna kitu umefata, kwenye kutoka unapiga piga kandambili kwa fujo kuharibu mood yao.
Wakishtuka umeshafungua mlango unaondoka zako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakataaa
Mi nlikuaga naongeaga tu na wachumba zangu wa Kibaha Boys na beb wangu mtu maarufu fulani hivii... sema shule yetu tulikua tunaishi kama chuo yani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zetu tigo bure ikifika saa sita kamili mpk alfajr wee!usipimeee yaani wenye simu wanaanza kutafuta line saa sita kasoro kuna mtu alikua anaongea huyoo kuanzia saa sita mpk saa kumi na mbili anawahi darasani analaalaaa mpk vipindi vinaaanza
Michapiooo!!tumeandika sana tu nyuma ya darasa jina mkoseaji,neno na usahihi wake hahaaaMwalimu wetu wa Biology alikuwa anaongea kama anasinzia, na vipindi vyake vya mchana. Hivyo kusinzia ni given hapo ushashiba chai mihogo. Ili usisinzie inabidi uandike maneno anayochapia maana alikuwa anachapia balaa. Akiondoka tunayaandika ubaoni.
Mtu angeniambia ningekuja kuwa mwalimu sikubali aisee.
Azania hii[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnakumbuka sakata la samaki wa Magufuli, mwishoni ilibidi wagawe mashuleni hasa ya mkoa wa Dar na pwani. Tuliletewa shuleni kwetu baada ya kula tulihara shule nzima.
Kwa hiyo mimi unanikaziaga siyo?Utakua na sura ya utukutu lazima. Mi naonekanaga serious ila nahisi hamna mtu mjinga kama mimi nikiwa na watu ninaowaamini...
[emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] waonekana tuu!