JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Mimi mwenyewe nilishindwa kabisaaa, tena ukija kuniamsha tutagombana kama sio mimi nilokwambia uniamshe. Usingizi mtamu jamani, walokuwa wanaamka sijui waliwezaje!!
Mi nalala wakiniamsha nawaambia neno linasema "ole wake autumiaye mchan kua usiku narudi kulala" saa ingne nawaambia sisomei kijiji majibu ya necta yanatoka hawaamini macho yao waliniona mwanga!
 
Kusoma usiku kipaji ujue. Mimi nilikua naenda prep saa nne nikifika nachaaat saa sita narudi kulala. Mambo ya usongo nilikuq siwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zetu tigo bure ikifika saa sita kamili mpk alfajr wee!usipimeee yaani wenye simu wanaanza kutafuta line saa sita kasoro kuna mtu alikua anaongea huyoo kuanzia saa sita mpk saa kumi na mbili anawahi darasani analaalaaa mpk vipindi vinaaanza
 
Teh hadi leo, nikifika mahali kabla sijazoeana na watu, siongeagi kabisa, kasura nakadogodisha kaonekane ka upole, ila still nakuwaga defined as mkorofi. Nikishaanza kuzoeana na watu ndo wanaanza kunipa stories za walivyokuwa wananiona. Sasa sijui ni kwa sababu ya sura hii ya mjomba mweeh. Yani sinaga matukio, ila ukisema HS mpole watu wataandamana kichura chura. Nyumbani walinipa nickname "anna kansiime " na upole wote huu hahahahah

Nikiwa na marafiki zangu, me ndo naonekanaga mtukutu jamani mweeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakataaa
 
You cant be serious!!! Wewe kabisaaaa na ucharuko wapi na wapi!!!

Mie i was silent, huwezi nikuta kwenye matukio japo marafiki zangu micharuko. Sijui nilikuwa ninaepushwa au vipi sielewagi kwakweli!!!
Huyu ni Mimi kabisaaa
 
Ilikuwa mkishafunua page mnakaa mbali halafu anajifanya kukohoa au kubamiza mlango, akishtuka anafunua page ya mbele, hapo ni kicheko mpaka prep inaharibika.

Kuna siku mnabadili hadi anachokisoma, akiamka anaendeleza.

Baadae aligundua mbinu, ikawa akishtuka anatulia baadae mnaona anabadili kitabu.
Huyo hakua mzima wallah kaah![emoji28] [emoji23] [emoji23] wanafunua mpk page ya mbele hakua msom alikua msanii
 
Kuna mmoja darasani kwetu nilikia nikienda prep namkuta na namuacha. Asubuhi nikienda drasani namkuta. Form six akazungusha zero. Alikua anapenda elimu maskini ila elimu haikumpenda
[emoji5] [emoji5] jamani daah!
 
Teh hadi leo, nikifika mahali kabla sijazoeana na watu, siongeagi kabisa, kasura nakadogodisha kaonekane ka upole, ila still nakuwaga defined as mkorofi. Nikishaanza kuzoeana na watu ndo wanaanza kunipa stories za walivyokuwa wananiona. Sasa sijui ni kwa sababu ya sura hii ya mjomba mweeh. Yani sinaga matukio, ila ukisema HS mpole watu wataandamana kichura chura. Nyumbani walinipa nickname "anna kansiime " na upole wote huu hahahahah

Nikiwa na marafiki zangu, me ndo naonekanaga mtukutu jamani mweeh
Utakua na sura ya utukutu lazima. Mi naonekanaga serious ila nahisi hamna mtu mjinga kama mimi nikiwa na watu ninaowaamini...
 
Chezea kiinglish alafu mbele ya kadamnasi!!! Kinayeyuka chooote unakumbuka kilugha tu.
Balaa!sina hamu welkam form 1 nlitoka mbio kwenye gwaride la utambuzii![emoji23] [emoji23] [emoji23] assembly
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zetu tigo bure ikifika saa sita kamili mpk alfajr wee!usipimeee yaani wenye simu wanaanza kutafuta line saa sita kasoro kuna mtu alikua anaongea huyoo kuanzia saa sita mpk saa kumi na mbili anawahi darasani analaalaaa mpk vipindi vinaaanza
Kweli nyie watoto, kumbe wa enzi ya tigo bure!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Muwe mnanipa shikamoo zangu.
 
Mimi nilikuwa mtundu sana school, ila siyo mgomvi kabisa, kwa hiyo hizi za kuchokoza watu ilikuwa kawaida sana.

PCB walikuwa wasongo sana, kuna muda nilikuwa nachungulia darasani wote wako kimyaa, unaingia kama vile kuna kitu umefata, kwenye kutoka unapiga piga kandambili kwa fujo kuharibu mood yao.

Wakishtuka umeshafungua mlango unaondoka zako.
PCB,PCM,CBG na EGM Mimi niliambiwa nimebaka kombii maana ni mtataa marafiki zangu woteee KLF na H kunani!yaani starehe tuuu!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zetu tigo bure ikifika saa sita kamili mpk alfajr wee!usipimeee yaani wenye simu wanaanza kutafuta line saa sita kasoro kuna mtu alikua anaongea huyoo kuanzia saa sita mpk saa kumi na mbili anawahi darasani analaalaaa mpk vipindi vinaaanza
Mi nlikuaga naongeaga tu na wachumba zangu wa Kibaha Boys na beb wangu mtu maarufu fulani hivii... sema shule yetu tulikua tunaishi kama chuo yani...
 
Mwalimu wetu wa Biology alikuwa anaongea kama anasinzia, na vipindi vyake vya mchana. Hivyo kusinzia ni given hapo ushashiba chai mihogo. Ili usisinzie inabidi uandike maneno anayochapia maana alikuwa anachapia balaa. Akiondoka tunayaandika ubaoni.

Mtu angeniambia ningekuja kuwa mwalimu sikubali aisee.
Michapiooo!!tumeandika sana tu nyuma ya darasa jina mkoseaji,neno na usahihi wake hahaaa
 
Mnakumbuka sakata la samaki wa Magufuli, mwishoni ilibidi wagawe mashuleni hasa ya mkoa wa Dar na pwani. Tuliletewa shuleni kwetu baada ya kula tulihara shule nzima.
Azania hii[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom