JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Mnakumbuka sakata la samaki wa Magufuli, mwishoni ilibidi wagawe mashuleni hasa ya mkoa wa Dar na pwani. Tuliletewa shuleni kwetu baada ya kula tulihara shule nzima.
Wale samaki mimi sasa nilikua naanza nao kwa wapishi. Halafu rafiki yangu alikua food leader sasa alikua anakuja nao bwenini. Ilifikia point nikisikia harufu ya wale samaki natapika. Mkoa wa Pwani tuliwafaidi sana wale samaki
 
Mi nlikuaga naongeaga tu na wachumba zangu wa Kibaha Boys na beb wangu mtu maarufu fulani hivii... sema shule yetu tulikua tunaishi kama chuo yani...
Hahaaa!no inspection sie tulikua tunaita Open university!! Shule kama hizooo
 


Hahaha!, aiseeh! 😀

Ndo dunia lakini..
 
Basi marafiki zako walikua staki shule..
Hapana, sasa rafiki zangu wao wote walikuwa wanaonekana wapole, afu me ndo katukutu. We all liked school. I guess personality yangu ipo controversial kidogo, kwa sababu hata hao marafiki zangu, before walikuwa na perceptions tofauti kabisa juu yangu. Baada ya kuwa friends ndo wakawa wananiambia "yani nilikuwa nakuona blah blah".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…