JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Enzi nikiwa nasoma , mabweni yote yalikuwa yananiita DADA yaani. Nilikuwa nachamba, nasuta acha kabisa. Ukija kushtakiwa kwangu huna bahati.
Cha ajabu siku hizi nimekuwa mpole sana.
 
Enzi nikiwa nasoma , mabweni yote yalikuwa yananiita DADA yaani. Nilikuwa nachamba, nasuta acha kabisa. Ukija kushtakiwa kwangu huna bahati.
Cha ajabu siku hizi nimekuwa mpole sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii
 
I was a good student, so kupendwa kulikuwepo sana tu. Ila honestly upole unaouwaza wewe binamu, me sina kabisa. Ila pia sio mtata kama watu wanavyoassume
Upole kwakweli mwanangu hauna kabisaaa, ni vile watu hawakuelewi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila pia sio mkorofi but una misimamo na unajitambua. Unajua watu wenye misimamo yao huwa wanaonekana watataaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see meeeee[emoji8] [emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…