JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

U-asha kisomo nilikuwa si haba teh

Kitu ambacho sikuwahi kukielewa ni kwamba levels zote nilizozisoma, baada ya muda kupita nimeanza kuzoeana na watu, majority walikuwa wananiambia hawakutegemea kama ntamaliza shule salama bila kufukuzwa au supp/disco chuo. Sura yangu imekaa kimatukio matukio sana eti,so they were expecting the worst from me. Mwisho wa siku nilijikuta nina marafiki wengi mnoo, baada ya wengi kuona I was different from mtu waliyekuwa wanamuwazia. Na hata leo baadhi ya watu wananionaga nimeshindikana mweeh.

Kanisani nilikuwa yule kiongozi mcharuko. Wapendwa wote wanasalimiana kipendwa, mimi sometimes nilikuwa naitikia "pouwah " mweeh. Baadaye ndo nikaja kuzoea sasa (aibu naona mimi)


No wonder they were expecting different from you..

Yaani mtu anakusalimu Bwana Asifiwe, unajibu, 'POUWA'

T ake bhanaaa!...LOL! 😀
 
Sie mabweni yalikuwa yanafungwa na na viranja wa mabweni sasa mmoja alikuwa rafiki yetu ikifka siku hatutaki kwenda class anatufungia nje na kufuli tunalala weee ikitokea msala tunaingia kwenye malocker tunafungiwa na makufuli ,ukiliona loka ni dogo unakaa style mpaka unatoshaa,wakichelewa kukufungulia unatoka humo hoiiiiii
Acha uongo mkuu
 
Teh hadi leo, nikifika mahali kabla sijazoeana na watu, siongeagi kabisa, kasura nakadogodisha kaonekane ka upole, ila still nakuwaga defined as mkorofi. Nikishaanza kuzoeana na watu ndo wanaanza kunipa stories za walivyokuwa wananiona. Sasa sijui ni kwa sababu ya sura hii ya mjomba mweeh. Yani sinaga matukio, ila ukisema HS mpole watu wataandamana kichura chura. Nyumbani walinipa nickname "anna kansiime " na upole wote huu hahahahah

Nikiwa na marafiki zangu, me ndo naonekanaga mtukutu jamani mweeh
Hahahaaaa!! Huo ucharuko umerithi kwa baba yako Kaboom maana mama yako mpoleeee.
 
Kwingine bwana. Kuna nywele inauzwa laki na nusu nikakwambia ile advance ulipie hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Si ndio kwenye uzi wa jana?
Ule uzi kwangu ulizingua niliona notification yako lkn nikiingia haufunguki,
 
Mimi mwenyewe nilishindwa kabisaaa, tena ukija kuniamsha tutagombana kama sio mimi nilokwambia uniamshe. Usingizi mtamu jamani, walokuwa wanaamka sijui waliwezaje!!
Yaan mi hata nilale siku nzima ,wengine hukosa usingizi lakin mi ikifika saa 4 usiku kama sina mtoko nalala usingizi kamwee
 
Teh hapo ni kiongozi wa dini, dada mtumishi nilikuwa nazingua sana. Nakuja kushtuka kumbe nishajibu pouwah, mweeh. Ila hiyo ilikuwa wakati wengi washanizoea, angalau ukiniongelea differently wanakushangaa tu.
No wonder they were expecting different from you..

Yaani mtu anakusalimu Bwana Asifiwe, unajibu, 'POUWA'

T ake bhanaaa!...LOL! 😀
 
Back
Top Bottom