JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

Dah ebwana nimepangwa hapa mpaka sasa hivi mchuchu haujatimba magetoni wakati ndio nishajiboost, maji kwa wingi mixer pushup nyingi kujiweka fiti..hivi hawa viumbe wana matatizo gani?
😂😂😂 kaka hapo umetoa sadaka kula chakula lala
 
Hapa kuna msiba kwa jirani. Mtoto wa jiran kaiba sinza huko wamemnywesha maji ya moto ba pilipili, wakampiga panga kichwani na kumtoboa macho. Maiti iko mwananyamala hospital. .

Very sad 😔
 
Back
Top Bottom