JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

Hapa kuna msiba kwa jirani. Mtoto wa jiran kaiba sinza huko wamemnywesha maji ya moto ba pilipili, wakampiga panga kichwani na kumtoboa macho. Maiti iko mwananyamala hospital. .

Very sad 😔
Sonsad poleni sana ila sinza uku siko kwa kuingia kichwa kichwa unaweza sema mtaa hauna watu ila fanya tukio duh
 
Yeah i am kinda annoyed right now. Sinza hawaaxhagi wezi Salam kuna mmoja alikuw ananiibia. Ila aliiba sinza akapigwa msumari kichwani akaambiw aende zake hakufika hata nyumba ya nne 😔
au wanawachekecha kuwachangaby maini na firigisi.

Wazazi wanaumia sana. .
NALUDIA TENA WADOGO ZANGU SINZA SIO MTAA WAKUIBA MNATAKUFA VIBAYA
 
Back
Top Bottom