Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #41
Sonsad poleni sana ila sinza uku siko kwa kuingia kichwa kichwa unaweza sema mtaa hauna watu ila fanya tukio duhHapa kuna msiba kwa jirani. Mtoto wa jiran kaiba sinza huko wamemnywesha maji ya moto ba pilipili, wakampiga panga kichwani na kumtoboa macho. Maiti iko mwananyamala hospital. .
Very sad π
30+ sio wababaifu akikuelewa hana dana danaNdio shida ya kudate na under21..madude yetu ya above 30 hayanaga ujinga huu tena yanafika mapemaaa
Toa locationDah ebwana nimepangwa hapa mpaka sasa hivi mchuchu haujatimba magetoni wakati ndio nishajiboost, maji kwa wingi mixer pushup nyingi kujiweka fiti..hivi hawa viumbe wana matatizo gani?
Bas ww bahiri na bahiri siku zote vitu vyake uliwa na mchwaSio kweli mkuu siku ya kufanyani miti yote uteleza mkuu
Duh poleni sana ila nilisema ile mpaka next week week hii nipo very bise kaka nasafari ya uko polini kwaio bado sija ichambua mzeeJohnnie Walker ile story ya Tunu na Tunda unaixhelewesg sans. Arosto zinaumizaπ
Haya ndio mambo sasa njoo kwa pm.. maana humu wanaume kama mabinti wamoToa location
Na akija kavaa pediDemu mmoja alafu haeleweki ni kubahatisha, lazima ufanye sana usafi na kuja haji
Hahahahaha nafwaaa..Haya ndio mambo sasa njoo kwa pm.. maana humu wanaume kama mabinti wamo
Yeah i am kinda annoyed right now. Sinza hawaaxhagi wezi Salam kuna mmoja alikuw ananiibia. Ila aliiba sinza akapigwa msumari kichwani akaambiw aende zake hakufika hata nyumba ya nne πYaleyale
πππ mabos wa kibongo wabinafsi sanadah leo nimefunga silnder head ya fod nimemaliza na Bos hajatokea maamae wakati alisema leo nisilale nijihim kwenyekazi yake anipe change dahπ
sinza sio poa kabisa hawajui tuSonsad poleni sana ila sinza uku siko kwa kuingia kichwa kichwa unaweza sema mtaa hauna watu ila fanya tukio duh
Namuacha alale mwenyeweNa akija kavaa pedi
ππ ila watu mnajiweza ase mnajitoa ufahamuHaha bro kwangu pedi huwa inabinduliwa then napima oil kama imechafuka kweli au boshen..hawezi achimbe tu mkuu
michosho kweli yani.πππ mabos wa kibongo wabinafsi sana
NALUDIA TENA WADOGO ZANGU SINZA SIO MTAA WAKUIBA MNATAKUFA VIBAYAYeah i am kinda annoyed right now. Sinza hawaaxhagi wezi Salam kuna mmoja alikuw ananiibia. Ila aliiba sinza akapigwa msumari kichwani akaambiw aende zake hakufika hata nyumba ya nne π
au wanawachekecha kuwachangaby maini na firigisi.
Wazazi wanaumia sana. .
Bora mzee umeludi ulipotelea wapiChaputa 111111111 ππ