JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

Ohhh Ume Anza kufukua makaburi[emoji848][emoji3]
Nilikuwa nawafuatilia sana enzi hizo kabla sijajiunga jf ilikuwa mwaka 2013,

@Demiss alikuwa anabebishana na mzee wetu Mshana Jr[emoji23]

Na nilikuwa nawafuatilia sana,na wale wa cc.....inasikitisha sana.

Nilikuwa nisipoingia jf nilikiwa nahisi homa,

Kuna mzee mmoja wa kuitwa pididy Sijui,

Kulikiwaga na yule wakuitwa DJ SEPETU,alikuwa ana Interview kule chit chat[emoji23][emoji23]
 
Kumbe we wa kitambo kunizidi ee jf🤭
 
Dah una onekana we mkubwa🤔, una miaka mingapi Sasa hivi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…