JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

Intelligent businessman kaniambia au basi.. 😅😅😅😅

Nikuache hapa tunaweza piga story.. kesho nikaanzishiwa story mpya.. nimepewa mkeka mrefu sana nilio lala nao JF hadi nimeogopa.. kuna wengine hatujawai hata onana.. dah.. humu napashimwa
Kawaida sana.....wanasema hivyo waambie wachangamkie fursa pia....wakisema wao wametulia bas waambie wamind their business 🥴
 
Back
Top Bottom