Jf members mpunguze uongo kidogo

Jf members mpunguze uongo kidogo

God is good all the time, All the time....(don moen).

Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!

Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!

Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".

Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
Naanza na hawa hapa:
Mbao za Mawe
mpwayungu village
Zero IQ
BIL lugano
 
Jinsi matajiri wa JF wanavyotathmini watumie usafiri upi kuja kukujibu hapa 🐒

images (7).jpeg
 
Peleka ujinga wako wa darasa la 7B mkajadiliane na wajinga wenzio. Sisi wajinga wenye PhD zetu ujinga wetu tunaujua wenyewe
wewe ndie darasa la 7c kabisa
PhD haina sifa kama hizi, vingnevyo hauitendei haki
 
Humu kuna chai kinoma leo mtu anaweza kukupa ushauri wa biashara ya magari na anakusisitizia yeye ndio biashara anayoifanya mpaka kajenga ghorofa mbili Mbezi,halafu wiki ijayo anajisahau anaanza kuulizia duka gani zuri kwa spare za guta lake analouzia maji gongo la Mboto maana limeharibika anashindwa kupata pesa ya kula!! Yaan vurugu tupu
hahaha vijana wanaishi ndoto hewa
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umeifanya friday yangu
God bless you.
 
Acha Wivu ziwe za mkopo ziwe zakuokota nawewe kaokote ... na kazi nakuja kuomba maana maisha yanachange anytime 🤸‍♂️🤸‍♂️
 
God is good all the time, All the time....(don moen).

Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!

Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!

Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".

Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
Wengi wao ni watoto wadogo tu
 
Njoo nikuajiri kwenye mojawapo ya showrooms zangu.... Mshahara mnono kabisa
haina haja, hyo nafasi wape vijana wa karibu yako itapendeza sana.

location tafadhali
 
God is good all the time, All the time....(don moen).

Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!

Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!

Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".

Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
Sahih kbsa mmoja wao Ni

mpwayungu village huyu bwan CYO wa kumtilia mkwazo kwa story yoyote
 
Anzisha list tutakusaidia kuongeza tunawajua
 
Back
Top Bottom