JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Kuna member mmoja aliitwa SubiriJibu aliandika Uzi mmoja kuhusu Mgomo wa udsm, uzi ninaoupenda kuliko nyuzi zote hapa Jf.... nilimfahamia kwenye huo Uzi sijawahi kumuona kwenye Uzi mwingine wowote...
 
Yuko wapi huyu, kaotea siku nyingi, Kuna siku nilimuona kwenye kipindi Cha kitafuta vipaji vya kuimba karaoke clouds tv, sijui kaishiaje, alikuwa vizuri sana na story zake za ubea, namkubali sana, hivi hakuna member yeyote anaemjua alipo kweli, maana alikuwa famous sana kipindi Kila itakuwaje asiwe na rafiki wa karibu humu, au alimwambia asiseme alikojichimbia. Alikuwa na contant zilizonyooka
 
Back
Top Bottom