Watangazaji wa Radio Tanzania walikuja Cairo Egypt kujifunza mambo ya Television miaka ya 80 mmoja kati ya hao ni Abdallah Mlawa,
Yupo na Segumba mtoto wa mzee wa Simba Habibu Segumba au Underline,alikuwa na Taxi yake 404 Simba lialia alikuwa anasahau mpaka wapi ka Park gari,mwingine ni msafiri mwenzetu wakuitwa Lupa....Down Town Cairo.
JELLA MTAGWA: Mchezaji aliyewahi kuwika akiichezea Timu ya Yanga pia Timu ya Taifa kwa mafanikio makubwa mno. Kwa kuheshimu mchango wake kwa Taifa, Shirika la Posta na Simu Tanzania wakati ule likaweka picha yake ktk moja ya STEMPU za Shirika hilo kwa ajili ya barua.
Kama unakumbuka michezo ya kuigiza ya radio tanzania
Kuna bibi alikuwa mtata sana ambaye kwa sasa ni marehemu anaitwa Catherine Komba alijulikana kama bi Nyakomba
Hii barabara ikiitwa Acacia avenue baadaye ikaitwa Independence avenue sasa hivi inaitwa Samora Avenue..Huo mti wa pili ndio baadaye Zebra crossing ya kwanza ilichorwa Dar.
Huyo mama kulia kwake unaelekea shule ya St Joseph ambayo baadae iliitwa Forodhani.
Kutoka Maktaba ya Mhenga hii ilikuwa Mwaka 1955 Mwanasiasa Mkongwe Lawi Nangwanda Sijaona aliibiwa Baiskeli yake Dar Es Salaam na ikapatikana Bagamoyo Baiskeli hiyo alikabidhiwa Rafiki yake John Umi tarehe 1 November 1955 na Tanganyika Police, Kariakoo Division kwa kuwa Lawi Nangwanda Sijaona alirudi Newala na alikuwa anafanya Kazi za TANU huko Lawi na John walisoma wote Shule ya Sekondari ya Chidya Masasi na Minaki kipindi hiki Jeshi la Polisi Tanganyika lilikuwa na uwezo wa kufuatilia na kukamata Baiskeli tofauti na sasa Watu wengi wanaibiwa Magari na hayapatikani kwa kweli tumetoka mbali kwa hisani ya Adam Sijali Nangwanda Sijaona.
Huyu ni marehemu Deogratias Mazula ndiye rubani aliyekuwa anaendesha ndege wakati imetekwa mwaka 1982
Ikitoka mwanza kuja Dar
Yeye aliendesha toka mwanza,kenya,saudi arabia mpaka England
Huyu ni marehemu Deogratias Mazula ndiye rubani aliyekuwa anaendesha ndege wakati imetekwa mwaka 1982
Ikitoka mwanza kuja Dar
Yeye aliendesha toka mwanza,kenya,saudi arabia mpaka England