Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Huyu sio Barnaba wa miaka hiyo kweli? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwamba sijui aliishia wapiView attachment 2526937
Mnyama huyu, 504 GR loooooo nimekumbuka mengi sana, safari ya mother city to Bandari salama kutumia mnyama huyuEast African safari rally,1975.
Car no 36
Bert Shankland
Soliderity forever
Watu wakifanyakazi kabla ya mkoloni
Hivi kwa used unaweza kupata kwa sh ngapi kama unafahamu mkuuKweli, wengi wanaomiliki ni wamasai
Sijui kwa kweli,Hivi kwa used unaweza kupata kwa sh ngapi kama unafahamu mkuu
Yeah[emoji106]Power Mabula?
View attachment 2553892
LEO KTK HISTORIA YA SOKA LA TANZANIA: Mwaka 1988 ulikuwa mwaka wa klabu kongwe za mjini Tanga yaani African Sports (Wanakimanumanu) na Coastal Union (Wanamangushi au Mbweha wa Tanga). Enzi hizo Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) ndio ilitujuza.