JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Miaka 17 sasa toka mwanamuziki moshi william atutoke duniani
Mwanamuziki moshi alipitia bendi mbalimbali lakini bendi iliyomtambulisha ilikuwa polisi jazz band
Alijiunga na juwata mwaka 1982 na wimbo wake wa kwanza kutunga akiwa na msondo unaitwa Hamida
Ametunga na kuimba nyimbo nyingi sana akiwa na bendi ya msondo
Wahenga naomba mtufamishe jina lake kamili anaitwa SHABANI ALLY MHOJA KISHIWA je sababu gani akaitwa MOSHI WILLIAM?
Nyimbo zipi za marehemu moshi wewe unazikubali?
Moshi aliacha mke ambaye naye amefariki Asha wana seifu na watoto wanne Hassani,Rama,Mahada na maika ambao alipenda kuwataja kwenye nyimbo zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…