Sherehe za Uhuru,1961.
Flypast ya Jet fighters 6 katika formation baadaye ukasikika muungurumo kama wa radi ghafla likaonekana dege kubwa aina ya Vulcan(ilikuwa haijawahi onekana Tanganyika) likapita chinichini likasalute na kurudi zake Nairobi.(Tanganyika kulikuwa hakuna uwanja wa kutua hili dege.
Mwana mapinduzi mpiganaji Fidel Castro wa Quba siku alipowasili TZ akiwa na gwanda za jeshi na bastola kiunoni kwa mbali unaweza kumuona makamu wa rais wa kipindi hicho Aboud Jumbe Kwawa na waziri mkuu molinge Sokoine
Athman Juma chama "JOGOO" kushoto, na Zamoyoni Mogella "GOLDEN BOY". enzi zao ndio ulipatikana msemo chama na mogella, pindi inapokutana Simba na Yanga.
Hii mitandao imekuja haribu mambo yote
Enzi zetu ilikuwa mnapo kutana mambo yanaishia hapo hapo ukiona kainamisha kichwa chini kisha ingia kwenye uwanja wa mapambano kazi kwako