Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Jamanii JK n HBKanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
Ngelautwa Daud Mwakawago ambaye aliwahi kua Katibu Mtendaji wa TANU
Hilo neno kustaafu bado sijalielewa mkuu mbna wangali bado vijana???Kanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
Hilo neno kustaafu bado sijalielewa mkuu mbna wangali bado vijana???
Umenikumbusha neno MAKAMISAA ..Sidhani kama vijana wetu leo wanalifahamu hili nenoWakati wa mfumo wa Chama kimoja walikua wafanyakazi wa CCM ndani ya jeshi.
Kulikua na tawi la CCM katika majeshi na wao walikua makamisaa wa Siasa jeshini ndo kazi yao
Baada ya kuanza vyama vingi iliwabidi wachague kubaki CCM au kubaki Jeshini kwakua sheria ilikataza wanajeshi kuwa wanavyama wa siasa
Hapo ndo wakastaafu Kina Kinana,Kikwete, Chiligati, Komba, Makamba nk nk
Jeshi lilikua ni Mkoa wa KisiasaWakati wa mfumo wa Chama kimoja walikua wafanyakazi wa CCM ndani ya jeshi.
Kulikua na tawi la CCM katika majeshi na wao walikua makamisaa wa Siasa jeshini ndo kazi yao
Baada ya kuanza vyama vingi iliwabidi wachague kubaki CCM au kubaki Jeshini kwakua sheria ilikataza wanajeshi kuwa wanavyama wa siasa
Hapo ndo wakastaafu Kina Kinana,Kikwete, Chiligati, Komba, Makamba nk nk
Na wakati ule kulikua na masomo ya itikadi ya chama. Siku hizi kila anayevaa kijani anaitwa kada wa chama🤣Umenikumbusha neno MAKAMISAA ..Sidhani kama vijana wetu leo wanalifahamu hili neno
Hiyo Uhuru ndo hii ya siku hizi?
Gazeti la Uhuru lilikua "HURU"Hiyo Uhuru ndo hii ya siku hizi?
Kweli kabisa unaona story ilivyobalance, siku hizi akihama chama basi hatoandikwa kabisa ni kama hajawahi kuexist, na mhariri akimuandika basi kazi hanaGazeti la Uhuru lilikua "HURU"
Tunaua vipaji vya waandishi na wahariri wetu kwa kuwafunga midomo wasiandike na kutangaza habari ambazo haziwapendezi watawala. Ndio maana siku hizi vituo vyote vya radio, tv stations na print media vimejaa mambo ya michezo, muziki, burudani na entertainments tu, no hard news. Habari nyingi ni kuripoti ratiba za watawala na kurusha propaganda zaoKweli kabisa unaona story ilivyobalance, siku hizi akihama chama basi hatoandikwa kabisa ni kama hajawahi kuexist, na mhariri akimuandika basi kazi hana
This man was smart since then, hongera sana mheshimiwa mstaafu.
Jeshi lilikua ni Mkoa wa Kisiasa
Kumbe sheraton ilikuwa ya 1963!!??View attachment 1519845
Wakongwe wanaikumbuka?? Mgiriki alivyoanzisha Sheraton akampa binti yake ikamshinda hii wakafunga December 1998 mpaka saivi wanaishi popo tu pale[emoji16][emoji16]
.
.
.
.
.
Dar — es-Salaam - In A surprise move, the management of Motel Agip in Dar-es-Salaam, one of Tanzania's leading tourism and business facilities, this week confirmed plans to close the hotel despite indications that the hotel industry was picking up.
The 57-room hotel in downtown Dar is slated to close on December 18 after 35 years of operation. More than 150 workers will be laid off. The hotel's managing director, Mr. Emmanuel Mantheakis, told The East African that the decision to close down had been taken to allow shareholders to run other businesses.
Kumbe sheraton ilikuwa ya 1963!!??
Kitambo sana
Ndiye yeye!Mkuu huyu si mbatia huyu