JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Kanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
Hilo neno kustaafu bado sijalielewa mkuu mbna wangali bado vijana???
 
Hilo neno kustaafu bado sijalielewa mkuu mbna wangali bado vijana???

Wakati wa mfumo wa Chama kimoja walikua wafanyakazi wa CCM ndani ya jeshi.

Kulikua na tawi la CCM katika majeshi na wao walikua makamisaa wa Siasa jeshini ndo kazi yao

Baada ya kuanza vyama vingi iliwabidi wachague kubaki CCM au kubaki Jeshini kwakua sheria ilikataza wanajeshi kuwa wanavyama wa siasa

Hapo ndo wakastaafu Kina Kinana,Kikwete, Chiligati, Komba, Makamba nk nk
 
Umenikumbusha neno MAKAMISAA ..Sidhani kama vijana wetu leo wanalifahamu hili neno
 
Wakati wa mfumo wa Chama kimoja walikua wafanyakazi wa CCM ndani ya jeshi.

Kulikua na tawi la CCM katika majeshi na wao walikua makamisaa wa Siasa jeshini ndo kazi yao

Baada ya kuanza vyama vingi iliwabidi wachague kubaki CCM au kubaki Jeshini kwakua sheria ilikataza wanajeshi kuwa wanavyama wa siasa

Hapo ndo wakastaafu Kina Kinana,Kikwete, Chiligati, Komba, Makamba nk nk
Jeshi lilikua ni Mkoa wa Kisiasa
 
Kweli kabisa unaona story ilivyobalance, siku hizi akihama chama basi hatoandikwa kabisa ni kama hajawahi kuexist, na mhariri akimuandika basi kazi hana
Tunaua vipaji vya waandishi na wahariri wetu kwa kuwafunga midomo wasiandike na kutangaza habari ambazo haziwapendezi watawala. Ndio maana siku hizi vituo vyote vya radio, tv stations na print media vimejaa mambo ya michezo, muziki, burudani na entertainments tu, no hard news. Habari nyingi ni kuripoti ratiba za watawala na kurusha propaganda zao
 
View attachment 1519845
Wakongwe wanaikumbuka?? Mgiriki alivyoanzisha Sheraton akampa binti yake ikamshinda hii wakafunga December 1998 mpaka saivi wanaishi popo tu pale[emoji16][emoji16]
.
.
.
.
.

Dar — es-Salaam - In A surprise move, the management of Motel Agip in Dar-es-Salaam, one of Tanzania's leading tourism and business facilities, this week confirmed plans to close the hotel despite indications that the hotel industry was picking up.

The 57-room hotel in downtown Dar is slated to close on December 18 after 35 years of operation. More than 150 workers will be laid off. The hotel's managing director, Mr. Emmanuel Mantheakis, told The East African that the decision to close down had been taken to allow shareholders to run other businesses.
Kumbe sheraton ilikuwa ya 1963!!??

Kitambo sana
 
Kumbe sheraton ilikuwa ya 1963!!??

Kitambo sana

Hapana mkuu umeaona wapi hiyo 1963?

EDIT : Nimekuelewa hiyo kipande cha gazeti. kinaongelea Motel Agip ndo ilikua na miaka 35 mpaka hiyo 1998 ila ndo ikafungwa mpaka saivi ni gofu tu pale Posta

Mimi nilidokeza tu kwamba Mmiliki wa Hio Agip alikua mgiriki fulani na miaka ya 1995 ama 96 hivi ndo alifungua Sheraton pale Ohio basi akamkabidhi binti yake Agip aiendeleze yeye akaenda Kusimamia Sherato. Yule binti ikamshinda
 
Back
Top Bottom