JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Mkuu, Motel Agip na Embassy Hotel zilikua za kishua sana miaka hiyo
 
Oky kumbe Agip ndio ilimfia binti

Na vipi kuhusu hiyo sheraton nasikia ndio hii inabadilishwa majina mpaka leo mara Moven Peak mara ninii
 
Sanaaa nakumbuka nilishawahi kufikia pale nikitokea Kigoma nikapita na Taulo(niliiba[emoji1787][emoji1787])

Basi nilikua naona ufahari sana nikilianika pale nyumbani kwangu Gungu kigoma nilikua naonekana bonge la mshua. Ujana raha sana
[emoji23][emoji23]
 
Ndo mana nilimua kuacha hii kazi
 
View attachment 1519919
Watu wengi huwa wanadhani Mugabe ndio alikua Rais wa kwanza wa Zimbabwe.

Kuna mwamba aliitwa Canaan Bondido Banana ndio alipewa usukani baada ya makubaliano ya Lancaster na R. Mugabe alikua Waziri Mkuu
Huyu Canaan Banana si ndiye yule Rais aliyekuwa anamtafuna bodyguard wake ndani ya makataba ya ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…