JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Canal of Corinth, Greece
20230204_035225.jpg
 
Morogoro kuna Mtaa unaitwa NUNGE.
Mtaa wa NUNGE una ukumbi alikokuwa anatumbuiza MBARAKA na wenzake, enzi hizo ukiitwa "holofea" na Waluguru wakinaanisha "SOCIAL WELFARE" na baadae ukaitwa DDC.

Ukumbi umekarabatiwa na kujengwa Ghorofa, kwa sasa unaitwa MBARAKA MWISHEHE!
Miaka 44 toka huyu mwamba atutoke
Marehemu MBARAKA MWiNSHEHE MWARUKA
ALIFARIKI TAREHE12-1-1979 akiwa na miaka 34

View attachment 2486554
 
Morogoro kuna Mtaa unaitwa NUNGE.
Mtaa wa NUNGE una ukumbi alikokuwa anatumbuiza MBARAKA na wenzake, enzi hizo ukiitwa "holofea" na Waluguru wakinaanisha "SOCIAL WELFARE" na baadae ukaitwa DDC.

Ukumbi umekarabatiwa na kujengwa Ghorofa, kwa sasa unaitwa MBARAKA MWISHEHE!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Josef Mambo (katikati), aliyezaliwa mwaka 1885 Tanga, Afrika Mashariki, na kununuliwa hadi Ujerumani akiwa mtoto mwaka wa 1897, na aliwahi kuwa mpiga ngoma kwenye 3rd Prussian Horse Grenadiers. Wakati wa Vita vya Kwanza vya Kidunia, alipandishwa cheo hadi sajini na alijeruhiwa mara mbili, mara moja nchini Urusi, na mara moja huko Verdun.
JamiiForums-1389312019.jpg
 
Josef Mambo (katikati), aliyezaliwa mwaka 1885 Tanga, Afrika Mashariki, na kununuliwa hadi Ujerumani akiwa mtoto mwaka wa 1897, na aliwahi kuwa mpiga ngoma kwenye 3rd Prussian Horse Grenadiers. Wakati wa Vita vya Kwanza vya Kidunia, alipandishwa cheo hadi sajini na alijeruhiwa mara mbili, mara moja nchini Urusi, na mara moja huko Verdun.View attachment 2506595
Tanga iko kila nyanja!
 
Back
Top Bottom