JF Scheduled Maintenance - October 2020

Akhsante kwa mabadiliko haya yenye Tija na hongereni pia JAMIIFORUMS kwa hili. Nimeikubali sana tu 'Signature' yako JF Founder Maxence Melo.
 
Big up Maxence.
 
na katika kuandika kama hivi unavyoandika unaandikaje mkuuu?
 

Kwenye search yenu naomba kutoa ombi kiongozi, mtu anapo-search tunaomba itokee drop down menu inayoleta suggestions ya maneno au threads anazotafuta mtumiaji tafadhali.

Sjui nimeeleweka vizuri mkuu...?
 
Mkuu Maxence Melo, hongereni kwa kazi njema ya kuboresha platform hii muhimu.

Nakukumbusha tena niliomba mtubadilishie font colour pale mtu anapokuwa quoted user name inakuwa faint sana, inasomeka kwa tabu.
 
mkuu samahani lakini

inamaana ww huoni kabisa yani ni kipofu ama una uono hafifu yani unaona lakini kwa mbaali

na je kama hauoni kabisa ni njia gani unatumia kusoma hizi nyuzi humu ndani vilevile na kuchangia mada husika

samahani lakini ningependa kujua hilo kama hutojali
 
Samahanini wakuu

Nikitaka kubadili jina naenda wapi ili niweze kupata access ya kuchange jina

Asanteni
 
Ndiio sioni kabisa. Jinsi navyoitumia jf fuatilia post yangu no67 nahis nimetoa majibu. Matumizi ya jina kipofu sio sahihi. Tumia jina asiyeona.
 
Kwa nini post zinazo husu Mgombea wa CCM hasa negative zinaondolewa ila zina zo husu Mgombea wa Chadema hasa negative zinaachwa?
Hilo swali wakikujibu ni tag.
Hili jukwaa la jf nilakuponda ccm na serikali yake, na kusifia chadema na kundi lake, ndio maana wadau muhim wte wameanza kujiondoa jf.
 
Hatujapewa tamko kama ni maagizo toka juu au ni nini. Kila uzi wenye mambo yanayohusu Chadema leo kama kuna Video haifunguki. Inakuwa kama ipo broken. Ila nyingine zinafunguka kama kawaida
 
Mkuu Maxence Melo hilo jina "vipofu" is no longer in use,tumia "mlemavu wa macho" au "mwenye shida ya uoni"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…