mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Mimi hapa man ndiye mtume wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio nani huyo nabii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hapa man ndiye mtume wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio nani huyo nabii?
Mimi hapa mkuu NumbisaNdugu yetu mmoja ndani ya JF. Msome hapo juu utaelewa
Nipo kitambo ila jf ya zile enzi najiunga ilikuwa hot Mzizi alikinukisha sana humu. Mzee Mwanakijiji haonekani kabisa.Thumb up kwa JF technical support.
Hili sikuwahi kulijua Kama Kuna wasioona Wana access vizuri tu humu jukwaani.
Hongera Maxence Melo
Yeaah 'Changes' ndio nature ya kitu chochote .Nipo kitambo ila jf ya zile enzi najiunga ilikuwa hot Mzizi alikinukisha sana humu. Mzee Mwanakijiji haonekani kabisa.
Big up Maxence.======
UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15
======
Wakuu,
Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana).
Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa yamerejea sawa.
Baada ya marekebisho kadhaa, kutakuja features ndani ya JF na urahisi na usalama zaidi wa matumizi ya platform yetu.
Tunafanya haya ili kuendana na teknolojia ya habari na usalama wa mitandao.
Mtarajie mabadiliko gani? Yatajionyesha, si kwenye mwonekano bali kwenye User Experience. Wenye uoni hafifu wamefikiriwa na sasa watazidi kuitumia JF bila vikwazo.
Tunashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano mnaotupa.
na katika kuandika kama hivi unavyoandika unaandikaje mkuuu?Tunatumia visoma scree yan screen readers. Hapa simu au computa yako inatumia text to speach engine. Hii hutoa sauti ambayo hutuwezesha kujua nini kinafanyika katika kifaa hicho iwe simu au komputa.A screen reader is a form of assistive technology that renders text and image content as speech or braille output. Screen readers are essential to people who are blind, and are useful to people who are visually impaired, illiterate, or have a learning disability.
======
UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15
======
Wakuu,
Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana).
Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa yamerejea sawa.
Baada ya marekebisho kadhaa, kutakuja features ndani ya JF na urahisi na usalama zaidi wa matumizi ya platform yetu.
Tunafanya haya ili kuendana na teknolojia ya habari na usalama wa mitandao.
Mtarajie mabadiliko gani? Yatajionyesha, si kwenye mwonekano bali kwenye User Experience. Wenye uoni hafifu wamefikiriwa na sasa watazidi kuitumia JF bila vikwazo.
Tunashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano mnaotupa.
Mkuu Maxence Melo, hongereni kwa kazi njema ya kuboresha platform hii muhimu.======
UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15
======
Wakuu,
Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana).
Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa yamerejea sawa.
Baada ya marekebisho kadhaa, kutakuja features ndani ya JF na urahisi na usalama zaidi wa matumizi ya platform yetu.
Tunafanya haya ili kuendana na teknolojia ya habari na usalama wa mitandao.
Mtarajie mabadiliko gani? Yatajionyesha, si kwenye mwonekano bali kwenye User Experience. Wenye uoni hafifu wamefikiriwa na sasa watazidi kuitumia JF bila vikwazo.
Tunashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano mnaotupa.
mkuu samahani lakiniNikushukuru mkuu kwa maelezo yako mujarabu kabisa.
Binafsi mimi ni mtu asiyeona. Unayosema ni sahihi kabisa. Nimekuwa nikitumia mtandao huu kwa zaidi ya miaka sita kwa ID tofauti.
Nawapongeza sana maana kwa Tanzania ndio site na App ambayo iko accessible kwetu watu tusioona. Ni tatizo kubwa sana hapa Bongo masuala ya kiteknolojia tunasahaulika sana. Ila ninyi mnakuwa makini na hata kama tukiwasilisha tatizo yetu humu hushughulikiwa haraka.
Ndiio sioni kabisa. Jinsi navyoitumia jf fuatilia post yangu no67 nahis nimetoa majibu. Matumizi ya jina kipofu sio sahihi. Tumia jina asiyeona.mkuu samahani lakini
inamaana ww huoni kabisa yani ni kipofu ama una uono hafifu yani unaona lakini kwa mbaali
na je kama hauoni kabisa ni njia gani unatumia kusoma hizi nyuzi humu ndani vilevile na kuchangia mada husika
samahani lakini ningependa kujua hilo kama hutojali
Hilo swali wakikujibu ni tag.Kwa nini post zinazo husu Mgombea wa CCM hasa negative zinaondolewa ila zina zo husu Mgombea wa Chadema hasa negative zinaachwa?
Naandika kwa kugusa katika simu yangu halaf herufi husika hutamkwa. Basi mi huibonyeza. Pita youtube jifunze zaidi mkuu.na katika kuandika kama hivi unavyoandika unaandikaje mkuuu?
Post no 64 nimemjibu CONTROLANdiio sioni kabisa. Jinsi navyoitumia jf fuatilia post yangu no67 nahis nimetoa majibu. Matumizi ya jina kipofu sio sahihi. Tumia jina asiyeona.
Mkuu Maxence Melo hilo jina "vipofu" is no longer in use,tumia "mlemavu wa macho" au "mwenye shida ya uoni"Mkuu wangu,
Hawa hasa ndio tunawalenga. Kwenye matengenezo yetu tunajaribu kuboresha zaidi namna ya kuweka attachments ili wadau wanapofanya hivyo iwe rahisi kwa wenzetu.
KWA WENGINE:
JF ni tovuti ambayo kwa Tanzania imekuwa ya mfano kwa kuwapa fursa wenye changamoto ya kuona (wengine huwaita vipofu) ili nao washiriki kwenye mijadala anuai.
Mnaombwa mnapoweka attachments mziweke kama “full attachments” na mkiweza tafadhali wekeeni na caption ili wenzetu wenye changamoto ya kuona au wenye uoni hafifu washiriki nasi.
Technologically tumejitahidi kufanya inclusion lakini wadau huenda hamkujua hili hivyo kuwapa wakati mgumu wenzetu kusoma attachments.
Picha zikiwa attached JF wenzetu bado wanaweza kujua lakini caption zinawarahisishia sana.
Sina hakika kama mdau niliyemnukuu ana changamoto hii lakini ni “wake up call” kwetu sote kuwajali na kuwarahisishia kushiriki nasi.
Asante
Mkuu Maxence Melo hilo jina "vipofu" is no longer in use,tumia "mlemavu wa macho" au "mwenye shida ya uoni"