mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Mkuu Maxence Melo nilikuelewa juzi. Nadhani matumizi yako ya jina kipofu ilikua ni kuonesha unamaanisha wasioona ni watu wa aina gani.Kumradhi,
Kama utakuwa umenisoma vema, nimesema “wengine” ndo wanaowaita hivyo.
Kama nimemkwaza yeyote, naomba sana radhi
Kwa upande wangu sikukwazika na matumizi katika muktadha ule. Ingawa MLUGURU pia yuko sahihi. Sisi huitwa wasioona.