JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Huu kweli udaku spesheli...teh teh!!!

mkuu umeadimika sana chit chat, mambo vipi lakini?
juzi nilikuwa natoka Singida kuja Arusha kuna kijiji kati ya Kateshi na Babati kinachoitwa measkron..
vipi ndiyo anakotokea wife wako?
 
Last edited by a moderator:

uran sie wazima kabisa hapo ndo kijijini penyewe mkuu, mzima lakini wewe?
 
niko poa, safi sana.
niliona kibao nikakumbuka sana,
kidogo nisimame nikisalute.
si unajua tena pale barabara sasa iko safi..
 
Last edited by a moderator:
mkuu umeadimika sana chit chat, mambo vipi lakini?
juzi nilikuwa natoka Singida kuja Arusha kuna kijiji kati ya Kateshi na Babati kinachoitwa measkron..
vipi ndiyo anakotokea wife wako?

Mkuu nipo nipo, huku huwa naja kwa kuibia si kama zamani...

Haswa huko ndipo atokapo mwandani wangu...
 
Back
Top Bottom