Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ungetulia pembeni ndugu yangu mtanzaniaOya unatudhalilisha wanaume wenzio.
Acha mambo yako 😎
Acha uleviLucas usijaribu kwenda Mombasa 🐼
Kwa aina hii ya ujenzi wa hoja mnapata wapi ujasiri wa kuhoji ccm kuendelea kuongoza nchi yetu, watu hamna hoja zaidi ya matusi, vijembe nk, jifunzeni kujenga hoja kutoka ccm.Yaani ww ungekulia miji iliyochangamka changamka kdg wangeshakuoa!
Baki huko huko mashambani, mijini wewe ni fursa!!.
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025.
Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi. ameshika nafasi gani na zipi kiuongozi kuanzia alipokuwa Mwanafunzi mpaka alipomaliza Masomo yake ya Elimu ya juu.
Mtapata kumfahamu kwa undani zaidi mambo aliyoyafanya na kuyasimamia pamoja na matokeo yake kwa ujumla wake. Hakuna kitu kitakachobakia kumhusu .kila kitu utakipata hapa jukwaani na kukata kiu yako..
Mwisho ningependa kusema ya kuwa Mimi siyo Chawa wa mtu na hivyo chochote niandikacho hapa Jukwaani naandika mimi kama mimi .na wala siyo kwa malipo au kutumwa na mtu au kupewa maelekezo na mtu. Mimi ni Mwana CCM Damu Damu na nawaunga mkono viongozi wangu wa CCM pamoja na wanachama wenzangu wa CCM.View attachment 3388819
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tunamjua vizuri. Hatuhitaji gazeti lako!Ndugu zangu Watanzania,

Bora hata na wewe umeona jamaa ana dalili zote.Lucas usijaribu kwenda Mombasa 🐼
Yaani umetoka kamsamba juzi unajiona unawajua watu kuliko ulio wakuta sio?Ndugu zangu Watanzania,