Jiandaeni Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV Nzito Na Ndefu Ya Paul Makonda. Mtapata Kumjua kwa Undani Zaidi

Huyo anajulikana Mr Albert bashite alifeli pale pamba sekondari kwa kuzungusha yaani alipata division 0.
Huyo jamaa kichwani hamna kitu anajulikana
 
usiisahau ile cv yakukabiwa kwa juu na lile ze 6
Yule dingi ndiye alimvua ubingwa nyamitako
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
 
Huyo fisadi wa elimu unaweza kuleta kujulikana kwake vipi tofauti tunavyomjua kuwa ni:
➡Ni Mr Zero Form Four - Pamba Sekondari - Mwanza
➡Mwizi wa vyeti vya mtu mwingine
➡Jina lake halisi ni Albert Bashite Malyangili
➡Wanatoka kijiji kimoja na Askofu Josephat Mathias Gwajima wa kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima
➡Kijijini kwao ni Kolomije, Kilichopo wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza
➡Ana tuhuma za makosa ya "kudhulumu uhai wa watu" (mauaji) kama ambavyo FBI wa Marekani wamethibitisha.
➡Kwa sababu ya makosa hayo, Marekani imempiga marufuku yeye na mke wake kuingia nchini humo
➡Anatuhumiwa kuongoza genge la utekaji na mauaji tangu enzi za Hayati Rais Magufuli mpaka leo
➡Anatuhumiwa kuwa yeye ndiye aliyeongoza majambazi na wahaini waliompiga risasi Tundu Lissu mwaka 2017 mchana kweupe wa saa 7 eneo la Area D - Dodoma. Ndio maana mpaka leo serikali kupitia vyombo vyake (polisi) imegwaya kufanya uchunguzi wa tukio lile kwa sbb it well known kuwa ni yeye Bashite kwa maagizo ya Rais Magufuli
➡Ana tuhumkwa kurekodi video chafu ya ngono kwa kutumia utaalamu wa kompyuta ili kumchafua Askofu Gwajima. Rejea mgogoro wake na Askofu huyu mwaka 2017 - DSM
➡Anapenda kutumia mamlaka yake vibaya (abuse of power) kuiba kwa nguvu toka kwa matajiri.
➡Anatuhuma za kuvamia kituo cha radio na TV cha Clouds mwaka 2017 ili kuwalazimisha wamuliki warushe kipindi chenye maudhui machafu kwa lengo la kumchafua Askofu Gwajima. Hata hivyo, wakti huo alipigagwa za uso na Mtumishi wa Mungu mpaka akaombapo...

#Kwa kifupi huyu jamaa hafai kuwa kiongozi wa umma specific ktk nafasi ya kuchaguliwa kwa kura. Kama wanamtaka, asubiri ateuliwe na anaoshirikiana nao kwenye upuuzi na unyama wake..

#Ajiandae kwa madongo haya tukianza kazi. Tutahakikisha hatoboi kama tulivyofanya Kigamboni mwaka 2020 kuanzia kwenye kura za maoni tu ndani ya CCM!!
Koote naunga mkono, ils kwenye ile video HAPANA,
Video ni halisi, mtumishi alizidiwa mipango ya kiintelijensia, alipiga mbuno huko anarekodiwa bila kujua.
 
CV yake nzito ya kuwa muuaji na kuwa alikuwa msimamizi mkuu wa watekaji na wauaji wa wakosoaji wa Rais, wakati wa awamu ya 5, inafahamika kwa watanzania. Usihangaike.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025.

Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi. ameshika nafasi gani na zipi kiuongozi kuanzia alipokuwa Mwanafunzi mpaka alipomaliza Masomo yake ya Elimu ya juu.

Mtapata kumfahamu kwa undani zaidi mambo aliyoyafanya na kuyasimamia pamoja na matokeo yake kwa ujumla wake. Hakuna kitu kitakachobakia kumhusu .kila kitu utakipata hapa jukwaani na kukata kiu yako..

Mwisho ningependa kusema ya kuwa Mimi siyo Chawa wa mtu na hivyo chochote niandikacho hapa Jukwaani naandika mimi kama mimi .na wala siyo kwa malipo au kutumwa na mtu au kupewa maelekezo na mtu. Mimi ni Mwana CCM Damu Damu na nawaunga mkono viongozi wangu wa CCM pamoja na wanachama wenzangu wa CCM.View attachment 3388819

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Moderators tafadhalini liokoeni jukwaa hili kwa mada za kitoto kama hii
 
Sawa Mrs Makonda.
 
CV yake tunaijua Bashite wala usijichoshe labda uwadanganye ileje 😹😹
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025.

Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi. ameshika nafasi gani na zipi kiuongozi kuanzia alipokuwa Mwanafunzi mpaka alipomaliza Masomo yake ya Elimu ya juu.

Mtapata kumfahamu kwa undani zaidi mambo aliyoyafanya na kuyasimamia pamoja na matokeo yake kwa ujumla wake. Hakuna kitu kitakachobakia kumhusu .kila kitu utakipata hapa jukwaani na kukata kiu yako..

Mwisho ningependa kusema ya kuwa Mimi siyo Chawa wa mtu na hivyo chochote niandikacho hapa Jukwaani naandika mimi kama mimi .na wala siyo kwa malipo au kutumwa na mtu au kupewa maelekezo na mtu. Mimi ni Mwana CCM Damu Damu na nawaunga mkono viongozi wangu wa CCM pamoja na wanachama wenzangu wa CCM.View attachment 3388819

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbwa tunaemjua kweli anaweza jua Elimu ya mtu ikiwa yy tu hajui Elimu yake.
 
Back
Top Bottom